Pre GE2025 Mbowe: Kuna Watu wanasema Nina mgogoro na Tundu Lissu nawaambia Watasubiri sana, Chopa inaanza operation Karatu na Nitakuwa na Tundu Lissu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
watumiaji wengi wa Jf elimu ya kuunga unga hata Propaganda zao ni za kitoto sana. Mimi nilijua ngumu sana Lissu kumfanyia figisu Mbowe, ingawa siasa hazipo hivyo, Lkn ile propagnda iliokuwa inayokwenda humu kuhusu Chadema binfasi nikiona ya kitoto sana. ukiwa na akili zilikuwa zipo free kufikiri utajua kama zile ni sawa na Propaganda za Isreal kwa HAMAS
 
Swali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter

Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka

Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe
Utaona hata majukwaa yatakavyokua ya kisasa sio kama Lissue anasimamia kwenye matofali haliopangwa et ndio jukwaa
 
Swali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter

Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka

Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe
aliempa ulemavu kibaadam ndio anatakiwa amuonee huruma amsaidie
 
Haijalishi Nani anafanya kampeni na usafiri gani, iwe kwa Magari (haya ya gharama) ama Kwa Chopa, bila kuwa na tume huru ya uchaguzi¹, ni Sawa na kumpigia Mbuzi Gitaa.
"Mnatutimulia Vumbi wapiga Kura"
Kifupi mnatuboa.
 
umesaidia nini katika hizo harakati? au unalaumu tu? Husikii Palestina huko umoja waliokuwa nao?
 
Propagandist ya Chadema iko njema sana...imewapigisha kwata chawa mpaka wakachachawa
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lisu na wanasema Chadema imepasuka Watasubiri sana

Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na ndani ya Chopa atakuwemo yeye Mbowe na Tundu Lisu

Mlale Unono 😃😃🔥

Credit: Vitus Nkuna Ukurasani X
 
Ukiona hivyo ujuwe kimeeleweka. Yaani Mbowe amekubali kumgawia hela Lissu wanazosema zimetoka kwa Abdul. Hakuna mkate mgumu kwenye chai
 
Swali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter

Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka

Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe
Huo ndo uchongani sasa. Labda itoshe tu kusema muda wa kutumia chopa umefika ili kuongeza speed.
 
Swali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter

Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka

Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe
Unajiuliza swali la kitoto sana.

Hata Freeman Mbowe zipo ziara nyingi tu huzifanya kwa kutumia magari na hata kwa miguu.

Mfano wakati wa maandamano yote yaliyofanyika kote walitumia usafiri wa magari.

Kuna wakati wa kutumia magari na kuna wakati wa kutumia usafiri wa anga (chopa)

So, that's not a big deal. Muhimu ni kuwa kazi ya kukijenga na kukiimarisha chama
 
Too late.. tayari damage ni kubwa. Mbowe kasubiri hadi sisi wanaCCM tumseme kwa ukatili anaomfanyia Lissu ndo kaongea. Ninamshauri Lissu asipande hiyo chopa akiwa peke yake bila Mbowe. Itakuwa ni upuuzi baadae kuanza kusema "Kazi ya Mungu haina makosa" wakati ni lazima tuchukue tahadhari..
 
Back
Top Bottom