Konyagi inajimix vizuri kwenye chopa.Swali zuri .Lisu ana shida ya ulemavu wa miguu anazungukwa nchi nzima hivyo hivyo Kwa kuchechemea hawampi helicopter
Mbowe mtu mzima ndiye Helkopta inataka yeye akitaka kuzunguka
Kweli hiyo helikopta ni Kwa akili ya Mbowe
Akumbuke tu kuwa siku hizi chopa zinaanguka