Mbowe kuongea na Waandishi wa Habari leo saa sita mchana

Mbowe kuongea na Waandishi wa Habari leo saa sita mchana

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Taarifa hii ilitolewa jana usiku (7:24 PM) na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Mawasiliano wa CHADEMA, bwana
Jon Mrema kupitia mtandao wa twitter:

Kesho Jumatatu tarehe 16.03.2020 saa Sita Kamili mchana, ofisi za Makao Makuu ya Chama Kinondoni Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe atazungumza na vyombo vya habari. Waandishi wote mnakaribishwa kufika kwa wakati.

Asanteni.
 
Hivi hawa CCM watazuia mikutano ya hadhara ya siasa mpaka lini?
 
Tusubiri kusikia upande mwingine wa habari,tulinganishe na yale ya Mambosasa!
Sidhani kama kutakuwa na contesting issued to adjucate... nitakuatfuta akimaliza mkutano
 
Back
Top Bottom