Tetesi: Mbowe kupata uteuzi DC Mbozi

Tetesi: Mbowe kupata uteuzi DC Mbozi

Mheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
Cheo ambacho mbowe anastahili nchi hii kwa heshima na uwezo wa kisiasa aliojijengea ni kuwa waziri mkuu, makamu wa raisi au raisi tu. Huko kwingine kote ni kumvunjia heshima.
 
the issue is kuandika uongo!
Moderators ndiyo wana entertain huu utoto wakidhalilishwa viongozi wa CCM uzi unafutwa ghafla lakini akidhalilishwa wa upinzani wanafumba macho ila ni kushusha hadhi ya hili jukwaa tu.
 
Huu ni upuuzi. Biashara za Mbowe zinaweza kuwalipa mishahara na posho ma DC na ma RC wote nchi hii kila mwezi bara na visiwani.

Na hizo gharama zakuwalipa ni miscellaneous tu.
 
Kwa status alionayo Mbowe sio wa kupewa nafasi ndogo namna hiyo, u DC? Hiyo itakua dharau kubwa sana kwake. Bora akomae na biashara zake bwana
 
Ahahahahah..
Nitacheka sana, maana hii ni dharau ya hali ya juu mnoo.
Mshkaji wangu tuliepiga nae Tosa boys 2010 kalamba u DC moshi juzi, sasa na Mbowe ndio akaanze kukaa kwenye vyeo hivi si itakua kichekesho!?
 
Back
Top Bottom