Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Sasa hivi jamii forum imekuwa kama FacebookMods msiruhusu ukumbi huu kuwa wa kitoto hivi! Mnauharibu watabaki wajinga wajinga mkiendekeza vitu kama hivi kuandikwa hapa. Maxence Melo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi jamii forum imekuwa kama FacebookMods msiruhusu ukumbi huu kuwa wa kitoto hivi! Mnauharibu watabaki wajinga wajinga mkiendekeza vitu kama hivi kuandikwa hapa. Maxence Melo
Mbowe ni jina la wengi na mbowe wapo wengi acha mbowe ateuliwe kwani jina la mbowe liendelee kujadiliwaMheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
Mbowe ni jina la wengi na mbowe wapo wengi acha mbowe ateuliwe kwani jina la mbowe liendelee kujadiliwaMheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
Walipewa lini? Maana wote hao waliteuliwa kwanza lakini cards walikuja kupewa baadayeWOTE WALIPEWA KADI ZA CCM. Achana na ushabiki wa mitaani.
Mkuu maigizo ni mengi...Walipewa lini? Maana wote hao waliteuliwa kwanza lakini cards walikuja kupewa baadaye
Mimi ni mmoja waliofurahi sana Mbowe kushindwa, lakini sinunui huu utoto ulioleta hapa.Mheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
Endelea kuotaalikuwa bora sana hadi akampokea Lowassa?
Chochote kinawezekana
Unaota..?Mheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
Unajua dhana ya hadhi ya kisiasa?Mboe ana hadhi gani?
Hata kama humpendi Mbowe huwezi kumdhalilisha kiasi cha kumlinganisha na DC. Alishapita hadhi na cheo hicho kwa mbali sana.Mheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
Ni kweli yaani mbowe hadhi yake kupewa UDC???Mods msiruhusu ukumbi huu kuwa wa kitoto hivi! Mnauharibu watabaki wajinga wajinga mkiendekeza vitu kama hivi kuandikwa hapa. Maxence Melo
Mwamba hawezi kulamba viatu vya mama AbdulMheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi