Tetesi: Mbowe kupata uteuzi DC Mbozi

Tetesi: Mbowe kupata uteuzi DC Mbozi

Kwa heshima aliyokuwa nayo nadhani cheo cha U-DC ni kidogo mno.
 
Mheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
Mimi ni mmoja waliofurahi sana Mbowe kushindwa, lakini sinunui huu utoto ulioleta hapa.
 
Mheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
Unaota..?

Yaani atoke kwenye top ya heshima ya uenyekiti taifa CHADEMA hadi akajidhalilishe kuwa mbeba mafaili ya huyu mwanamke asiye na haya Bi Tozo a.k.a Bi Chura Kiziwi wa KIZIMKAZI Zanzibar akiwa amefichwa huko Mbozi kwa kacheo kaitwako DC...?

That will be too low for him...!!
 
Kwani tabu ikowapi.

Yule mama mgwira wa act aligombea Urais na bado akawa RC kilimanjaro.

Hata kama ni uongo ila hakuna ajabu yeyote.
 
Mheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
Hata kama humpendi Mbowe huwezi kumdhalilisha kiasi cha kumlinganisha na DC. Alishapita hadhi na cheo hicho kwa mbali sana.
 
Back
Top Bottom