Pre GE2025 Mbowe: Lissu alikuwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, na ndiye alitunga vifungu vya kuondoa ukomo wa uongozi kwa viongozi wakuu na wajumbe wa Kamati Kuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Mbowe ameyasema hayo wakati akihojiwa na Salim Kikeke katika kipindi cha Kasri kinachorushwa na CrownFM

Mbowe amesema kwamba Lissu anashiriki vikao vyote vya chama lakini hajawahi kuwasilisha hoja katika vikao ya kuomba wajadili kuondoa ukomo wa uongozi
 
Muda wa mabadiliko umefika. Mbowe ache ujinga wa udikteta. Mbowe must go.
 
Mbowe ameyasema hayo wakati akihojiwa na Salim Kikeke katika kipindi cha Kasri kinachorushwa na CrownFM

Mbowe amesema kwamba Lissu anashiriki vikao vyote vya chama lakini hajawahi kuwasilisha hoja katika vikao ya kuomba wajadili kuondoa ukomo wa uongozi
Hili swala la kuondoa ukomo, wa uongozi, Lisu alilifafanua vzr tu, wakati chama bado kichanga! Chama hakina watu, wanajitokeza wachache, then unawapa kigezo cha ukomo, ilikuwa simple logic tu, sasa hv chama kimekuwa, ukomo lazima urudishwe, sasa Mbowe kujifanya hamnazo kwamba haelewi hiki kitu, ni utapeli, aacha spinning, kutaka kuwaaminisha watu kuwa Lisu hakutaka ukomo wa uongozi, kwa vile ni mrafi wa madaraka! So stupid
 
Mpiga kura wa lissu au maria space team? Naona unatoka mapovu
 
Mpaka uchaguzi upite tutakuwa tumeona na kusikia mengi
 
Hili swala la kuondoa ukomo, wa uongozi, Lisu alilifafanua vzr tu, wakati chama bado kichanga! Chama hakina watu, wanajitokeza wachache, then unawapa kigezo cha ukomo, ilikuwa simple logic tu, sasa hv chama kimekuwa, ukomo lazima urudishwe, sasa Mbowe kujifanya hamnazo kwamba haelewi hiki kitu, ni utapeli, aacha spinning, kutaka kuwaaminisha watu kuwa Lisu hakutaka ukomo wa uongozi, kwa vile ni mrafi wa madaraka! So stupid
Wote tumemsikiliza Mbowe vizuri, hakuna sehemu amesema Lisu aligoma kuweka ukomo wa madaraka bali alishiriki kuandaa katiba iliyoondoa ukomo wa madaraka.

Hata hivyo huu mfumo wa zima moto ni wa ajabu sana. Kwanini ifikiriwe kuwepo ukomo wa madaraka kwenye katiba mwezi mmoja kabla ya uchaguzi? Kwa nini Mbowe anaonekana anang'ang'ania madaraka kwenye chama cha kidemokrasia? Nini kinaogopwa kwa Mbowe? Je Tundu anataka mshindani dhaifu?

Nafikiri tuache uchaguzi ufanyike kura ziamue.
 
Kama Lissu ndiye aliyeamua kusiwepo na ukomo wa madaraka na Chama kikakubali kwasababu aliyeamua ni Lissu.

Basi na saizi anabadili mtizamo kwa kurudisha ukomo wa madaraka na mnapaswa kukubali kama ilivyokuwa mwanzo.

Kwanini mnaleta judgment kutia shaka maamuzi yake wakati kipindi chote hicho cha nyuma Lissu ndiye aliyekuwa mastermind wa kuamua nini kifanyike kwenye katiba?
 
Mwanasheria mkuu ndio anarekebisha katiba?

Chadema ni Wahuni sana 😂😂😂
Mwenyekiti ndiye hurekebisha katiba? Chama ni wanachama… kwanini Lissu hakuwahi peleka hiyo hoja ili iungwe mkono au laa?

Lissu ana agenda zake na muda ni hakimu wa yote tupo hapa siku moja tutasimuliana jinsi gani samia anamtumia Msigwa kuivuruga CHADEMA!
 
cc

CCM inatumika kwa Mbowe na pia kwa Lissu kupitia Msigwa safari hii mmepatikana. CCM babu kubwa
 
Hili swala la kuondoa ukomo, wa uongozi, Lisu alilifafanua vzr tu, wakati chama bado kichanga! Chama hakina watu, wanajitokeza wachache, then unawapa kigezo cha ukomo, ilikuwa simple logic tu, sasa hv chama kimekuwa, ukomo lazima urudishwe, sasa Mbowe kujifanya hamnazo kwamba haelewi hiki kitu, ni utapeli, aacha spinning, kutaka kuwaaminisha watu kuwa Lisu hakutaka ukomo wa uongozi, kwa vile ni mrafi wa madaraka! So stupid
Chadema bado hakijakomaa
 
Back
Top Bottom