Pre GE2025 Mbowe: Lissu alikuwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, na ndiye alitunga vifungu vya kuondoa ukomo wa uongozi kwa viongozi wakuu na wajumbe wa Kamati Kuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
cc

CCM inatumika kwa Mbowe na pia kwa Lissu kupitia Msigwa safari hii mmepatikana. CCM babu kubwa
Mwenye akili finyu ataamini mchezo unaochezwa na CCM!!

Endelea kunyonya chuchu hizi mambo sio size yako.
 
Ila tuseme ukwl Lissu hafai kuwa kiongozi mkuu, amekaa kitoto sana. Halafu ni mnafki, siyo mkweli wala hana msimamo.
 
 
Tatizo ni kwamba Lissu anaaminisha watu kuwa Mbowe ndiye anayeng'ang'aniza kutokuwapo ukomo wa madaraka, wakati kama kweli ni tatizo, yeye Lissu ndio amelitengeneza
 
Kwa kipindi kile wenda kulikua na sababu za kufanya vile , kama izo bado zipo bado kinaweza kuwepo ,kama hazipo kiondolewe ,na hii sio maamuzi ya mtu mmoja , lazima kuwashawishi kamati kuu na ikuelewe
 
Mbowe asubiri sanduku la kura kelele za nini
Ungekuwa unajua wanaopiga kura ni akina nani, pengine ungetambua Mbowe yupo comfortable zaidi kwenye kura kuliko nje huku kwenye hakuna wapiga kura
 
Katiba inabadilishwa na mtu mmoja? Kumtetea Mbowe ni kazi ya mateso sana. Akiongea lazima aharibu.
 
Mwanasheria mkuu ndio anarekebisha katiba?

Chadema ni Wahuni sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ungesikiliza mahojiano na si kuweka neno kwenye tafsiri ya mahojiano ya mtu mwingine. Mbowe amesema Katiba imeweka utaratibu wa kufuata ili kufanya mabadiliko ya Katiba, na mtu akiwa na hoja anatumia huo utaratibu, na kisha wajumbe wanaupitisha kama wakiona unakidhi mahitaji. Kuhusu katiba yao, Mbowe anasema ni Lissu mwenyewe aliyeiweka kisheria, lakini leo zigo zima anasukumiwa yeye peke yake as if Lissu anayetoa tuhuma mbalimbali hakushiriki kuitunga. Ninavyo mimi, mambo yote kasukimiwa Mbowe, maana ni rahisi Kwa baadhi ya watu kupanda juu Kwa kukanyaga mabega ya wenzao. Mfano, Lissu amekuwa akimsukumia Mbowe kuhusu maridhiano na tuzo ya Samia. Hebu sikiliza mwenyewe Lissu alisema nini kuhusu vyote viwili:
View: https://youtu.be/rTWpnMO7kto?si=DZRFiyxHR9M69dGp
 
Tulisema sana miaka ile tulionekana wasalititi.
Lissu ameshiriki kuliweka jini kwenye chupa na sasa anahangaika kulitoa.
Lissu hajawahi kusema kuwa hakushiriki katika kuwe ukomo wa madaraka. Kinyume chake amekiri kushiriki na kama mwanasheria mkuu wa chama sehemu yake ilikuwa kubwa.

Alichokisema Lissu ni kwamba wakati wa kuuondoa ukomo wa madara sasa umewadia baada ya chama kujengeka na kuimarika kuwa chama kikuu cha uponzani.

Mimi namuunga Lissu mkono katika hoja hii. Wewe pia ukielewa hoja yake, tafakari na chukua hatua.
 
Lissu alishaeleza wazi kuwa kutokuwa na ukomo wa madaraka au uongozi ilikuwa mahitaji ya wakati, lakini sasa wakati huu chama kimekua hivyo akipata nafasi atashauri ukomo wa uongozi uondolewe.
 
Nimeona hayo mazungumzo, Mbowe anaongea taratibu sana lakini kwa UCHUNGU endapo Mbowe atapita sio nafasi ya Lissu Chadema.
 
Tatizo ni kwamba Lissu anaaminisha watu kuwa Mbowe ndiye anayeng'ang'aniza kutokuwapo ukomo wa madaraka, wakati kama kweli ni tatizo, yeye Lissu ndio amelitengeneza
Sio Mbowe wala Lisu waliopitisha hilo bali lilikuwa wazo la CDM wote. Kumsema Mbowe hataki kuwe na ukomo wa madaraka na wanaleta hoja karibu na uchaguzi wanakurupuka sana. Je CDM ikiunda serikali itakuwa inakurupuka hivi kwenye maamuzi? Inafikirisha sana juu ya uwezo wao wa kuongoza nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…