Pre GE2025 Mbowe: Lissu kuhutubia Taifa ni kukosa nidhamu na kufanya kazi isiyo yake

Pre GE2025 Mbowe: Lissu kuhutubia Taifa ni kukosa nidhamu na kufanya kazi isiyo yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu amejaa sifa kichwani, hajui siasa hakuanza yeye, yupo wapi Kassim Hanga?
We una malaria 🦟 kweli Tena it's has affected your brain huwezi kuwaza SAWA #Shut up ,tunahitaji majedari kama kina lissu 50 tu Tanzania itakuwa nchi ya asali na maziwa wasio ogopa ukweli na nidhamu za uoga
,

Ka washinda mahakamani wakamtafuta Kwa Risasi
 
Lisu alikua mtu sahihi sana wa kuleta challenge kwa mbowe na kuchukua nafasi hiyo,ila kwa tabia yake ya kuwa kama wakike,beki hazikabi yaani ropo ropo sana imefanya nikaona kwamba hata kama ningekuwa mmoja wa wapiga kura basi lisu asingeipata kura yangu,
Hakuna ukomavu kwa lisu,ameonyesha udhaifu mkubwa sana kwa mberere zake
 
Lisu alikua mtu sahihi sana wa kuleta challenge kwa mbowe na kuchukua nafasi hiyo,ila kwa tabia yake ya kuwa kama wakike,beki hazikabi yaani ropo ropo sana imefanya nikaona kwamba hata kama ningekuwa mmoja wa wapiga kura basi lisu asingeipata kura yangu,
Hakuna ukomavu kwa lisu,ameonyesha udhaifu mkubwa sana kwa mberere zake
Hayo ni Mawazo Yako among the Majority ni haki Yako kaa nayo ,but will not affect the fact thus why kwenye demokrasia hawakosi wajinga wasio jua kufanya analysis na wewe ni Mmoja wapo
 
Hayo ni Mawazo Yako among the Majority ni haki Yako kaa nayo ,but will not affect the fact thus why kwenye demokrasia hawakosi wajinga wasio jua kufanya analysis na wewe ni Mmoja wapo
Sawa mwerevu, punguza jazba na hisia
Lisu haendi kokote
 
Makamanda uchwara akina imhotep wameshachanganyikiwa😁
f4b21aaf01e62d7f4412bf00111b6707--tanzania-a-group.jpg

Siku hiyo ya ushindi wa Lissu na Heche 👆umemuona Mwali?!
 
Kale kajamaa kanakokusanyaga michango ya rambirambi na kulilia jina la ule ukoo wa Butiama tu huwa kana hutubia taifa kaking'ang'ania uongozi wa umoja sijui wa MACHAWA sijui WASANII
 
Africa bado sana, waziri mkuu Canada kaachia madaraka ya mkuu wa chama ambayo amehudumu miaka 9, Mbowe ana miaka zaidi 20 bado anang'ang'ania. Mie nafikiri Chadema ni Taasisi kiasi kwamba hata viongozi wengine wanaweza kuwa wenyeviti na kukipeleka chama mbele, kubali uongozi ni hitaji muhimu kuleta mawazo na fikra mpya, Mbowe anatakiwa akubali na ajue hilo.

Mbowe hatakiwi kukopi siasa za CCM, siasa za kisocialism, kukopi wachina kwenye mambo ya kijinga ya ccm eti wanachama wake wana kuwa hawana uhuru wa kuongea na kuhoji nje ya vikao,hiyo dio democracy na mfumo kandamizi.

Kwa dunia hii na democracy ya kimagharibi, mwana chama anao gea lolote wakati wowote nje au ndani ya vikao.

Mbowe anatakiwa kuacha kusema ohh nilimsaidia mwanachama pesa ohh ninatoa pesa kwa chama , unatoa kwa misingi , je kwa lengo la kuendelea kuwa blackmail wenzie wasiwe wenyeviti wa chama? Ni aibu kiongozi kama mbowe kuendelea kulazimisha kuwa mwenye kiti over 20 yrs, hili halina justifications yeyote ile.
 
Freeman akihojiwa na Crown FM leo Januari 06, 2025 amesema...

“Unaweza ukanitukana tusi lolote halitanitoa katika focus ninachosema sio kwamba nina uhakika wa ushindi kwa sababu ninakubalika na watu..nani asiyekubalika?”

"Kwa mfano nikupe mfano rahisi nimemsikia majuzi ndugu yangu Makamu wangu(Tundu Lissu) anasema anahutubia taifa, ni Makamu Mwenyekiti (wa CHADEMA Bara) anahutubia taifa ameshakuwa kiongozi wa chama anahutubia taifa ni kukosa nidhamu. Sio Mwenyekiti wa chama soma katiba ya chama imeeleza kazi za Mwenyekiti na kazi za Makamu Mwenyekiti kila mmoja amefafanuliwa kwenye katiba kazi zake ni zipi anazifanyaje kama umeweza kwenda kufanya kazi ambayo si ya kwako.”

“Kama navyosema sio kila wakati kuchukua hatua ndiyo kumrekebisha kiongozi…sio kwamba hatumuelezi na hajui lakini mtu anapoamua kutoka nje ya misingi kwa sababu anafikiri labda yeye ni mkubwa kuliko chama kwamba yeye anaweza akafanya chochote anachotaka muda utaongea. Muda utazungumza ni nani mwenye haki na ukweli utabaki kuwa ukweli.”

Mbowe alipoulizwa kwamba Lissu anafanya kwa umakusudi na yeye Mbowe hachukui hatua labda anahisi ni kwa nini Lissu anafanya hivyo anafanya hivyo Mbowe akajibu “hilo swali ungemuuliza yeye angekusaidia zaidi.”
 
Huyo mbowe naye ni choko tu anaweza kupambana na magufuli aliyekufa lissu fyatu anamgwaya kama nini si wamfukuze kwenye hilo chama lao la wachaga tujue moja
 
Back
Top Bottom