Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Labda kama ataiba kura kupitia mamlaka au MfumoLissu ajiandae kisaikolojia. Kuwa kamanda bila cheo sio jambo rahisi.
Lissu hawezi kumshinda Mbowe kwa namna yoyote ile.
Muda utaongea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kama ataiba kura kupitia mamlaka au MfumoLissu ajiandae kisaikolojia. Kuwa kamanda bila cheo sio jambo rahisi.
Lissu hawezi kumshinda Mbowe kwa namna yoyote ile.
Muda utaongea
Tusake tonge badunguFreeman akihojiwa na Crown FM leo Januari 06, 2025 amesema...
“Unaweza ukanitukana tusi lolote halitanitoa katika focus ninachosema sio kwamba nina uhakika wa ushindi kwa sababu ninakubalika na watu..nani asiyekubalika?”
"Kwa mfano nikupe mfano rahisi nimemsikia majuzi ndugu yangu Makamu wangu(Tundu Lissu) anasema anahutubia taifa, ni Makamu Mwenyekiti (wa CHADEMA Bara) anahutubia taifa ameshakuwa kiongozi wa chama anahutubia taifa ni kukosa nidhamu. Sio Mwenyekiti wa chama soma katiba ya chama imeeleza kazi za Mwenyekiti na kazi za Makamu Mwenyekiti kila mmoja amefafanuliwa kwenye katiba kazi zake ni zipi anazifanyaje kama umeweza kwenda kufanya kazi ambayo si ya kwako.”
“Kama navyosema sio kila wakati kuchukua hatua ndiyo kumrekebisha kiongozi…sio kwamba hatumuelezi na hajui lakini mtu anapoamua kutoka nje ya misingi kwa sababu anafikiri labda yeye ni mkubwa kuliko chama kwamba yeye anaweza akafanya chochote anachotaka muda utaongea. Muda utazungumza ni nani mwenye haki na ukweli utabaki kuwa ukweli.”
Mbowe alipoulizwa kwamba Lissu anafanya kwa umakusudi na yeye Mbowe hachukui hatua labda anahisi ni kwa nini Lissu anafanya hivyo anafanya hivyo Mbowe akajibu “hilo swali ungemuuliza yeye angekusaidia zaidi.”
Mkuu mbona na wewe umezisoma nyuzi zake zote tatu ndani ya dakika 5 hizo hizo, nawe huna kazi ya kufanya???Mwanamwana wewe ni mwenda wazimu. Ndani ya dk 5 umeanzisha nyuzi tatu za kumhusu kamanda mbowe.
Huna kazi ya kufanya?
wewe kuandika hapa huna kazi za kufanyaMwanamwana wewe ni mwenda wazimu. Ndani ya dk 5 umeanzisha nyuzi tatu za kumhusu kamanda mbowe.
Huna kazi ya kufanya?
Hao wote si ni waombea? Yaani Mbowe anaongelea kumchukulia Lissu hatua wakati ni mgombea mwenzake? Halafu anajiona kutofanya hivyo ni sababi ya busara na ustaarab wake😅😅. Yaani hadi sasa Mbowep anajiona ana authorities ya kufanya yote hayo?Freeman akihojiwa na Crown FM leo Januari 06, 2025 amesema...
“Unaweza ukanitukana tusi lolote halitanitoa katika focus ninachosema sio kwamba nina uhakika wa ushindi kwa sababu ninakubalika na watu..nani asiyekubalika?”
"Kwa mfano nikupe mfano rahisi nimemsikia majuzi ndugu yangu Makamu wangu(Tundu Lissu) anasema anahutubia taifa, ni Makamu Mwenyekiti (wa CHADEMA Bara) anahutubia taifa ameshakuwa kiongozi wa chama anahutubia taifa ni kukosa nidhamu. Sio Mwenyekiti wa chama soma katiba ya chama imeeleza kazi za Mwenyekiti na kazi za Makamu Mwenyekiti kila mmoja amefafanuliwa kwenye katiba kazi zake ni zipi anazifanyaje kama umeweza kwenda kufanya kazi ambayo si ya kwako.”
“Kama navyosema sio kila wakati kuchukua hatua ndiyo kumrekebisha kiongozi…sio kwamba hatumuelezi na hajui lakini mtu anapoamua kutoka nje ya misingi kwa sababu anafikiri labda yeye ni mkubwa kuliko chama kwamba yeye anaweza akafanya chochote anachotaka muda utaongea. Muda utazungumza ni nani mwenye haki na ukweli utabaki kuwa ukweli.”
Mbowe alipoulizwa kwamba Lissu anafanya kwa umakusudi na yeye Mbowe hachukui hatua labda anahisi ni kwa nini Lissu anafanya hivyo anafanya hivyo Mbowe akajibu “hilo swali ungemuuliza yeye angekusaidia zaidi.”
Lissu hakuhutubia kama makamo bali kama mgombea.CCM ushawahi kumuona makamu anahutubia taifa 😂😂?
Mgombea afukuzwe kwa kulihutubia taifa? Mgombea katumia nafasi yake kulitangazia taifa kuwa anagombea, hilo nalo ni kosa🤣🤣.Erythrocyte Bado Mbowe una mamlaka ya kumwajibisha. Fukuza takataka kwa kosa hili
Kwani mimi G4N mwanachama wa kawaida wa CHAUMA, siwezi kulihutubia taifa?Inaonekana ameshaiva kutimuliwa au anafanya makusudi ilq atimuliwe.
Kumbe kuongea na watu nako kuna utaratibu wake?
Fuatilia mambo yako, achana na yangu.Mwanamwana wewe ni mwenda wazimu. Ndani ya dk 5 umeanzisha nyuzi tatu za kumhusu kamanda mbowe.
Huna kazi ya kufanya?
Sababu wajumbe wameshakula mlungula wa mangiKwanini hawezi?
Kura haziibiwi. Na kutakuwa na uhuru na uwazi. Kama kawaida kwa chaguzi nyingi za afrika malalamika ni lazima.Labda kama ataiba kura kupitia mamlaka au Mfumo
Atakuwa mkunja ngumi ?😃Lissu ajiandae kisaikolojia. Kuwa kamanda bila cheo sio jambo rahisi.
Lissu hawezi kumshinda Mbowe kwa namna yoyote ile.
Muda utaongea
Mtunukiwa na hoja plus confidence utaambiwa una masifa.Lissu amejaa sifa kichwani, hajui siasa hakuanza yeye, yupo wapi Kassim Hanga?