Pre GE2025 Mbowe: Lissu kuhutubia Taifa ni kukosa nidhamu na kufanya kazi isiyo yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu ajiandae kisaikolojia. Kuwa kamanda bila cheo sio jambo rahisi.
Lissu hawezi kumshinda Mbowe kwa namna yoyote ile.
Muda utaongea
Labda kama ataiba kura kupitia mamlaka au Mfumo
 
Crown FM wanaanza tabia ya Millard Ayo, kutafuta cheap views.

Wewe umemuhoji mtu weka interview yote sio vipande vipande kama vile unatengeza ‘soap opera’ hiyo.

Hizi ndio sababu toka Jambo TV waingie uwanjani naamini watu wengi wameacha na Ayo, abaki na watoto wenzake kuongea mambo ya mastaa.

Kikeke ni experienced reporter aache huo utoto wa part 1, part 2 kwenye interviews za siasa.

Vinginevyo hawa wanasiasa wakitaka kuongea mambo ya maana watafute on line TV watakao weka content zao zote, sio media zenye utoto wa Ayo TV na sasa Crown FM.
 
Tusake tonge badungu
 
Mwanamwana wewe ni mwenda wazimu. Ndani ya dk 5 umeanzisha nyuzi tatu za kumhusu kamanda mbowe.
Huna kazi ya kufanya?
Mkuu mbona na wewe umezisoma nyuzi zake zote tatu ndani ya dakika 5 hizo hizo, nawe huna kazi ya kufanya???
 
Hao wote si ni waombea? Yaani Mbowe anaongelea kumchukulia Lissu hatua wakati ni mgombea mwenzake? Halafu anajiona kutofanya hivyo ni sababi ya busara na ustaarab wake😅😅. Yaani hadi sasa Mbowep anajiona ana authorities ya kufanya yote hayo?

Yale mahojiano yake na Kikeke yamesababisha nimuone jamaa kuwa kumbe ana uwezo mdigo sana.
Inawezekana amebebwa zaidi na aina ya watu waliomo CHADEMA kuliko inavyoonekana sasa kwamba yeye ndiye aliyekuwa akiibeba CHADEMA na waliomo.
 
Erythrocyte Bado Mbowe una mamlaka ya kumwajibisha. Fukuza takataka kwa kosa hili
Mgombea afukuzwe kwa kulihutubia taifa? Mgombea katumia nafasi yake kulitangazia taifa kuwa anagombea, hilo nalo ni kosa🤣🤣.
Mwaka huu mkipona kuwehika itabidi mkatambike.
 
Tatizo ni nini? Kiongozi si anapatikana kwa kura? au kuna kitu sielewi
 
"Wanaomshabikia Lissu wengi si wapiga kura miongoni mwao ni hawa wawili" - NTOBI Mdahalo Star TV.
 
Nionavyo fam atachukua kijiti tena..uwezo na nyenzo anazo, na kikubwa ni kama mafia wa harakati hizi..wa kumshinda Mbowe hapaswi kuwa too aggressive
 
Labda kama ataiba kura kupitia mamlaka au Mfumo
Kura haziibiwi. Na kutakuwa na uhuru na uwazi. Kama kawaida kwa chaguzi nyingi za afrika malalamika ni lazima.
Hata Heche alipaswa kuingia bila upande. Anaenda kupigwa na Wenje.
 
Lissu kashajazwa ali akipasua chama.

Kaangalie akaunti yako inasoma bilioni kadhaa kama Lipumba
 
Lissu amejaa sifa kichwani, hajui siasa hakuanza yeye, yupo wapi Kassim Hanga?
Mtunukiwa na hoja plus confidence utaambiwa una masifa.
Jamani hivi kweli hamuoni hoja za TAML au ndo kawaida ya siasa za maji taka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…