Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

Chama cha siasa cha wakati huu kinagawanyika katika sehemu kuu tatu.

• Chama ndani ya wapiga kura.
• Chama kama oganaizesheni.
•Chama katika dola.

Kwa uchache tu, hapo awali, chama kinatakiwa kuwa na uwepo imara na wa kudumu kati ya wapiga kura kwa sababu kama chama kisipojipatia ushindi kwenye sanduku la kura katika ngazi husika mf udiwani, ubunge na urais, kitapotea mazima.

Chama kama oganaizesheni katika ngazi za kata, halmashauri, majimbo na kitaifa kinatakiwa kuunda au kuasili falsafa, itikadi, sera na kanuni za kukitambulisha, kuunganisha na kuongoza wanachama wake na wengine wanaovutiwa na siasa zake. Pia kujenga na
kusimamia miundo mbalimbali ya chama zikiwepo fedha, rasilimali watu, na miundombinu.

Chama katika dola ni pale ambapo kimepata ridhaa ya wananchi katika sanduku la kura kwa ngazi ya kuongoza serikali kuu, halmashauri, au hata uwakilishi tu mf udiwani au ubunge.

Hapa cha muhimu sana ni kuwa chama hicho kijikite kufikia malengo yake yaliyoanishwa kama ahadi kwa wapiga kura.

Mkuu mleta mada, na
kubaliana nawe kuwa ndani ya chama hicho na vingine vyote elimu inahitajika sana na wala sio kwa wanachama walei tu bali hata viongozi.

Elimu hiyo pia ikiwahusisha wananchi wote huenda tukapiga hatua walau moja mbele.

Inauma kusema hili lakini watanzania tumechelewa sana!
 
1. Mkuu umedadavua vyema. Tulipo haijulikani kama vyama tunaamini nini, tunasimamia nini, tunataka nini au hatutaki nini. Imekuwa ni ushabiki kama wa vyama vya mpira.

2. Kwenye mazingira haya wafuasi wanaitika vipi miito migumu ya kuwahitaji kuchukua maamuzi magumu ikibidi?

3. Tatizo hili liko hata kwa viongozi ndiyo maana utaona jumbe hizi mahsusi kabisa wanaelekezewa watu si chama.

4. Siamini kuwa Lissu hayajui haya wala umuhimu wake.

5. Kwa hakika huyu mwamba angechukua jukumu la kuwafunda wafuasi kwa kuanzia viongozi wa juu wote across the board.

6. Chama kinakuwaje na imani na misimamo ya siri au isiyojulikana kwenye jambo lolote?

7. Chama kinakuwa je na viongozi na wafuasi wasioijua falsafa ya chama
yenye kuwatofautisha na wengine wowote wa vyama vingine kwa matendo au hata kauli?

8. Kumbe ushindi wetu kwenye lolote utategemea nini basi? Rangi, sura za watu au jina la chama?

9. Kama falsafa, imani au misimamo ya chama havijulikani, kumbe hoja za chama ni zipi kuhusiana na lolote?

10. Mkuu nakubaliana nawe, ila la kusikitisha zaidi ni kuwa, kutoka hapa tulipo si rahisi sana. Hii ikiwa ni kwa sababu tunao ujuaji "uchwara" mwingi kupitiliza.

Cc: denoo JG, Rabbon, JokaKuu, Retired, Allen Kilewella, imhotep, WALOLA VUNZYA, Zawadini, Erythrocyte na wazalendo wengine ikiwapendeza; ila si kwa ubaya.

-------------------
["Mheshimiwa John Mnyika kama ilivyoshauriwa post inayofuata hapo chini, mjumbe hauwawi."]
 
1. Mkuu umedadavua vyema. Tulipo haijulikani kama vyama tunaamini nini, tunasimamia nini, tunataka nini au hatutaki nini. Imekuwa ni ushabiki kama wa vyama vya mpira.

2. Kwenye mazingira haya wafuasi wanaitika vipi miito migumu ya kuwahitaji kuchukua maamuzi magumu ikibidi?

3. Tatizo hili liko hata kwa viongozi ndiyo maana utaona jumbe huzi mahsusi kabisa wanaelekezewa watu si chama.

4. Siamini kuwa Lissu hayajui haya wala umuhimu wake.

5. Kwa hakika huyu mwamba angechukua jukumu la kuwafunda wafuasi kwa kuanzia viongozi wa juu wote across the board.

6. Chama kinakuwaje na imani na misimamo ya Siri au isiyojulikana kwenye jambo lolote?

7. Chama kinakuwa je na viongozi na wafuasi wasioijua falsafa ya chama
yenye kuwatofautisha na wengine wote wa vyama vingine kwa matendo au hata kauli?

8. Kumbe ushindi wetu kwenye lolote utategemea nini basi? Rangi, sura za watu au jina la chama?

9. Kama falsafa, imani za chama au misimamo ya chama haijulikani, hoja za chama ni zipi kuhusu lolote?

10. Mkuu nakubaliana nawe na la kusikitisha zaidi kutoka tulipo si rahisi sana. Hii ikiwa ni kwa sababu tunao ujuaji "uchwara" mwingi kupitiliza.

Cc: denoo JG, Rabbon, JokaKuu, Retired, Allen Kilewella, imhotep, @walola gunzya, Zawadini, Erythrocyte na wazalendo wengine ikiwapendeza; ila si kwa ubaya.
Maswali hayo 10 ni magumu sana kujibika, nashauri umtag pia Katibu MKUU Mnyika.

Nionavyo Mimi, Mkt alipotoka JELA, kupitiliza direct jumba jeupe kabla ya kuongea na Chama, Kwa kiasi kikubwa ndicho chanzo Cha utata wa swali No.6.

Mambo yakabadilika, tukaanza kuongea na mkt Eti tumseme Sa100 Kwa Staha!!

Ni hayo tu.
 
1. Mkuu hii nchi ni yetu sote.

2. Tusaidiane kupiga kelele ziwafikie wote wanao matter.

3. Mwenzetu akiongea au akitenda anapaswa, kukiakisi chama hata bila formal introduction:

4. Haipo njia nyingine ya kuwa na chama kilicho tayari kwa ukombozi.

5. Msaada tutani: "kwani ID ya mnene huyo ni gani, ndugu?"
 
Falsafa ya chama original aliondoka nayo Dr Slaa, na ile kopi tuliyoachiwa akaondoka nayo Professor Kitila Mkumbo, kwa hiyo kama chama sasa hatuna falsafa yoyote. Mara nyingi tunafuata tu kile anachosema au kufanya lisu; kama ni matusi, na sisi tunatukana hivyo hivyo, kama kupinga kila kitu, na sisi ni hivyo hivyo.
 
1. Rejea kuona uzi hii ulielekezwa kwenye vyama vyenye wito mtakatifu.

2. Tokea mboga mboga huku kunakuhusu vipi?

3. Kwani huko mboga mboga falsafa ya CCM ya Nyerere (iliyokuwa na wito huo) ingalipo?

4. Kwani imani na misimamo ya CCM ya Nyerere ingalipo?

5. Kwani mwenye akili timamu aliyekuwa CCM ya Nyerere anaweza kuwa pia CCM hii?

IMG_20211119_091739_123.jpg

6. Kwani CCM hii ina misimamo gani vita vya Ukraine, Palestina, Israel Gaza, kuhusu HAMAS au LGBTQ?

7. Kauli nzito kama hizi ni matokeo ya kuwa na falsaha iliyoshika vilivyo chamani:

8. Hawa hawawezi kuwa CCM ya Nyerere:

F9ngRD6WgAAyPA7.jpeg

9. Kuwamo CCM ya Nyerere na kuwapo CCM hii ni sawa na kuwa rafiki wa Mungu na shweitwani wakati mmoja!
 
Chama cha siasa cha wakati huu kinagawanyika katika sehemu kuu tatu.

• Chama ndani ya wapiga kura.
• Chama kama oganaizesheni.
•Chama katika dola.

Kwa uchache tu, hapo awali, chama kinatakiwa kuwa na uwepo imara na wa kudumu kati ya wapiga kura kwa sababu kama chama kisipojipatia ushindi kwenye sanduku la kura katika ngazi husika mf udiwani, ubunge na urais, kitapotea mazima.

Chama kama oganaizesheni katika ngazi za kata, halmashauri, majimbo na kitaifa kinatakiwa kuunda au kuasili falsafa, itikadi, sera na kanuni za kukitambulisha, kuunganisha na kuongoza wanachama wake na wengine wanaovutiwa na siasa zake. Pia kujenga na
kusimamia miundo mbalimbali ya chama zikiwepo fedha, rasilimali watu, na miundombinu.

Chama katika dola ni pale ambapo kimepata ridhaa ya wananchi katika sanduku la kura kwa ngazi ya kuongoza serikali kuu, halmashauri, au hata uwakilishi tu mf udiwani au ubunge.

Hapa cha muhimu sana ni kuwa chama hicho kijikite kufikia malengo yake yaliyoanishwa kama ahadi kwa wapiga kura.

Mkuu mleta mada, na
kubaliana nawe kuwa ndani ya chama hicho na vingine vyote elimu inahitajika sana na wala sio kwa wanachama walei tu bali hata viongozi.

Elimu hiyo pia ikiwahusisha wananchi wote huenda tukapiga hatua walau moja mbele.

Inauma kusema hili lakini watanzania tumechelewa sana!
Atleast wewe ndie nimekuelewa kwa namana ulivyoiweka hii, mleta mada alikuja too general akasahau kama chama kuna wakati kitahitaji support ya wengine toka nje kwa ajili ya kufikia malengo ya muda mrefu waliyojiwekea.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kwamba?

IMG_20231217_084422.jpg

Mara kadhaa na consistently naliandika na kukumbusha hayo ndugu?

I) Hakuna popote niliposema chama kinakataa support; na hata kama ni ya shweitwani!

II) Ila nimekuwa wazi muda wote kuwa hata kama ni "shweitwani" anaweza kuondoka, kuendelea kuwapo, hatumwombi kuwapo, wala hatumpigii magoti; lakini hawezi kupewa dhamana.

III) Au ulitaka niseme je ndugu zaidi ya hapo?

IV) Au ndiyo zile zingine tuziitazo mbwembwe, kujitoa kimaso maso au misimamo ya kimachale machale?

V) Yote heri, message sent and possibly delivered:

a) falsafa, imani na misimamo ya chama kuhusu jambo lolote haiwezi kuwa siri au isiyojulikana.

b) chama hakiwezi kukaa ki fursa fursa yaani kimachale machale, kiwizi wizi, kiujanja ujanja nk.

c) ni heri kuwa na wafuasi waliowiva kuliko kuwa na rundo la wasiojitambua na hasa kwenye dhamana.

d) ya wabunge wale ni mfano mmoja tu.
 
Kwamba?

View attachment 2844672

Ok, hiyo namba mbili unamaanisha kwamba unahitaji msaada wa shetani hata akitaka kuendelea kuwepo haumpingi, possibly hata kama hatakuwa na msimamo na imani kama yenu!

Unajichanganya sana sijui kwanini unakuwa mgumu kuelewa, au ni makusudi tu unafanya. Mwenzio pale juu ameelezea vizuri kabisa, kwa kuweka makindi ili kuifanya mada yako ieleweke vizuri, ajabu wewe unaturudisha kulekule kusipoeleweka!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Ok, hiyo namba mbili unamaanisha kwamba unahitaji msaada wa shetani hata akitaka kuendelea kuwepo haumpingi, possibly hata kama hatakuwa na msimamo na imani kama yenu!

1. Kwa hakika msaada ni msaada hata kama kutoka kwa shweitwani.

2. Upo ufasaha zaidi ya hapo?

Unajichanganya sana sijui kwanini unakuwa mgumu kuelewa, au ni makusudi tu unafanya. Mwenzio pale juu ameelezea vizuri kabisa, kwa kuweka makindi ili kuifanya mada yako ieleweke vizuri, ajabu wewe unaturudisha kulekule kusipoeleweka!.

1. Kwanini hudhani mgumu kuelewa unaweza kuwa wewe ndugu?

1664543999224~2.jpg

2. Kwani wewe ni Mungu, Shweitwani malaika au jini?

3. Kwanini hujiulizi ni wewe tu unayedai kutokuelewa?

4. Kwanini huoni si huyo ndugu tu waliyoielewa na hata kuipongeza?

5. Ninakazia: siasa za kimachale machale, kudandia hoja, kuvizia vizia, zisizokuwa na msimamo nk, hazina tija popote!
 
1. Kwa hakika msaada ni msaada hata kama kutoka kwa shweitwani.

2. Upo ufasaha zaidi ya hapo?

1. Kwanini hudhani mgumu kuelewa unaweza kuwa wewe ndugu?

View attachment 2844832

2. Kwani wewe ni Mungu, Shweitwani malaika au jini?

3. Kwanini hujiulizi ni wewe tu unayedai kutokuelewa?

4. Kwanini huoni si huyo ndugu tu waliyoielewa na hata kuipongeza?

5. Ninakazia: siasa za kimachale machale, kudandia hoja, kuvizia vizia, zisizokuwa na msimamo nk, hazina tija popote!
Hao wanaokuunga mkono sijui wametumia vigezo gani, kwa mtazamo wangu ulitakiwa uainishe baadhi ya mambo ndio maana kule juu kabisa kwenye komenti yangu ya kwanza nikaanza na maswali kwako, bahati mbaya sikuona jibu lako, kukosa jibu la yake maswali ndiko kunakufanya usijue wapi pa kusimamia.

Kwasababu huwezi kusema unataka watu wa msimamo na imani fulani kwenye chama chenu, halafu at the same time, uwe tayari kukaribisha hata wale wenye msimamo tofauti kwenye jambo fulani, kisha uwe tayari pia kuwaacha wabaki chamani kwenu kama wakitaka, huoni hapa tayari utaanza kuchanganya watu tofauti kwenye chama chenu, tofauti na msimamo unaozungumzia hapa?

Hii ndio sababu iliyonifanya toka kule juu nikwambie hili unalozungumzia hapa halitekelezeki, at least jamaa hapo juu ndio akaja kuonesha makundi matatu ambayo kwake anaona chama cha siasa lazima kisimamie hapo, kitu ambacho wewe hukuonesha popote.

Umekuwa too general kama vile siasa itakuwepo kwenye hicho chama chenu tu, hamtahitaji msaada toka pengine popote, ndio maana nikakwambia iwe hivyo labda kama hamna lengo la kukamata dola, ajabu mbele unasema unahitaji msaada wa yeyote na upo tayari hata akibaki ilimradi asipewe uongozi! Unajichanganya.

- Hapo kwenye lengo la kukamata dola, ndio Nowonmai akaja na yale makundi yake matatu sasa, huyu ndie atleast amekubeba hapa, amegusa ambapo wewe hugupagusa na ni pa muhimu sana kwenye kuijenga mada yako.

Nakuona tu unaweka idadi ya maswali yasiyo na ukomo instead of kuwekeza zaidi kuielezea hoja yako ieleweke, hata wengine unaosema wamekuunga mkono, mimi naona wamejielekeza kwenye parts ndogo ambazo hazijitoshelezi kuona wapi unaposimamia kuijenga hoja yako.

Haiwezekani mimi nikuoneshe udhaifu kwenye hoja zako, halafu wewe unanijibu kwa kuniuliza maswali ishirini, kwa mtindo huo naona tutakesha hapa, mimi nilitegemea uwe na hoja toshelevu kujenga mawazo yako ili yaeleweke pengine.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Hao wanaokuunga mkono sijui wametumia vigezo gani, kwa mtazamo wangu ulitakiwa uainishe baadhi ya mambo ndio maana kule juu kabisa kwenye komenti yangu ya kwanza nikaanza na maswali kwako, bahati mbaya sikuona jibu lako, kukosa jibu la yake maswali ndiko kunakufanya usijue wapi pa kusimamia.

Ni ajabu na kweli kuondoka kwenye mada na kutaka kujikita kwa mleta mada.

1. Kwamba hata nilipokuandikia haya:

IMG_20231217_140458.jpg

2. Tukatoka kwenye uandishi tukapiga hatua, hadi ukaandika haya:

IMG_20231217_144202.jpg

3. Sasa umeona mada imeungwa mkono uko kwenye kujitoa kimaso maso siyo?

Kwasababu huwezi kusema unataka watu wa msimamo na imani fulani kwenye chama chenu, halafu at the same time, uwe tayari kukaribisha hata wale wenye msimamo tofauti kwenye jambo fulani, kisha uwe tayari pia kuwaacha wabaki chamani kwenu kama wakitaka, huoni hapa tayari utaanza kuchanganya watu tofauti kwenye chama chenu?

1. Niliyoandika mimi muda wote ni haya:

IMG_20231217_145058.jpg

2. Unayoniwekea wewe mdomoni hapo juu umeyaokota wapi ndugu?

3. Kwamba kuna wasio na tatizo mada ila wewe:

IMG_20231217_163337.jpg

Kuwa ndiyo sasa iwe kesi?

Hii ndio sababu iliyonifanya toka kule juu nikwambie hili unalozungumzia hapa halitekelezeki, at least jamaa hapo juu ndio akaja kuonesha makundi matatu ambayo kwake anaona chama cha siasa lazima kisimamie hapo, kitu ambacho wewe hukuonesha popote.

1. Ninaloongelea mimi "kufunda wafuasi falsafa" linatekelezeka na ni muhimu sana.

2. #1 ndiyo maana waungwana wengine wenye mitizamo chanya hawakuacha kuliona.

Zaidi tu unaweka idadi ya maswali yasiyo na ukomo instead of kuwekeza zaidi kuielezea hoja yako ieleweke, wengine unaosema wamekuunga mkono mimi naona wamejielekeza kwenye parts ndogo ambazo hazijitoshelezi kuona wapi unaposimamia kuijenga hoja yako.

1. Maswali kujiuliza ni haki yangu kama ilivyo kuandika ambayo nayo ni art.

2. Kwani ulipenda niandike maswali mangapi ndugu?

Haiwezekani mimi nikuoneshe udhaifu kwenye hoja zako, halafu wewe unanijibu kwa kuniuliza maswali ishirini, kwa mtindo huo naona tutakesha hapa, mimi nilitegemea uwe na hoja toshelevu kujenga mawazo yako ili yaeleweke pengine.

1. Hiki ni kichekesho kingine.

2. Madhaifu? Kwani wewe nani ndugu?

3. Ya kuwa, labda hupendelea maswali mangapi?

Angalizo:

#10 pale nikimjibu bwa Nowonmai sikupepesa macho:

IMG_20231217_162307~2.jpg

Bwana Rabbon kwa mawazo mgando ya wafuasi hivi, ninakuelewa sana kuhusu kumtag mheshimiwa John Mnyika.

Ushauri wa bure:

"Ukidhani una hoja nzuri zaidi, ustaarabu huwa kuiwasilisha si kujifanya wewe ndiye: 'polisi, prosecutor na hakimu hapo hapo' kwenye hoja za wengine."

Ni hayo tu ndugu mjumbe.
 
1. Tambua wengi ni wajinga wanasubiri aseme Lissu au Mbowe. Ili watokee kuunga mkono.

2. Uwaonao hapa kina denoo JG ni ma opportunists wale wale tu.

3. Kina JokaKuu, Erythrocyte na wengine ni mwendo huo huo - opportunists at their best.

4. Kuna nyingine huku:

Lissu ndilo tegemeo tulilo nalo kwenye kuikomboa nchi hii sasa

5. Amini nakwambia hata kwa risasi huwezi kuwaona ng'o!
Kuna jambo nakubaliana nawe!!

Falsafa huzaa itikadi ambayo ndiyo hubeba mrengo wa chama unaotumika kutengeneza Sera ambazo mwisho wa siku ndizo huzaa Ilani inayonadiwa kwa kaulimbiu.

Wanasiasa Wa Tanzania wengi wao kama Siasa isingekuwa "ajira" Leo hii wasingekuwepo kwenye Siasa.

Wanasiasa wengi Tanzania ni wasaka tonge na watumia tumbo.
 
brazaj kwenye maandiko yako yote hayo unamtaja Tundu Lissu Kwa uwezo wake na uthabiti wake.

Lakini CHADEMA kwa Sasa inaongozwa na Mbowe, mbali ya kulitaja Jina lake kwenye kichwa cha bandiko lako, hakuna mahali umetaja umahiri wake wa kiuongozi kuliko unavyomtaja Lissu

Hiyo imetokea kibahati mbaya tu au ni mpango wa kiuandishi Ili ufikie malengo fulani tusiyoyaelewa??
 
1. Mkuu hata Lissu kama kuna mahali nimemtaja zaidi ya kwenye vichwa ni bahati mbaya tu na labda kwa kuwa sikuwa na option nyingine.

2. Ulisema umesoma yote vyema; hapa ulipaona pia?

IMG_20231218_004139.jpg

Kwenye hili:

Mbowe, Lissu nidhamu inaporejea wafundeni wafuasi heshima

3. Hadi hapo tuko wote? Au niulize wewe unahesabu Mbowe ngapi hapo, zaidi ya kwenye kichwa?

4. Even though, Is that really an issue? Kwani ulitaka zingekuwa ngapi kwa mfano?

5. Kwamba badala ya kujadili hoja tunaweza kujikita kwenye kujadili vitu petty namna hii?

6. Tatizo nini?
 
3. Hadi hapo tuko wote?
Labda...

Kwa karibia miaka 20 niko CHADEMA na kuna mambo huwa yanaongelewa kimhemko sana hasa kwenye nyakati hizi tunakoelekea kwenye chaguzi za ndani ya chama na nchi.

Hakuna chama kinachokosa "populists" ila mifumo ya chama ndiyo hudhibiti watu hao badala ya kutegemea watu kudhibiti watu wengine.

Dhana ya CHADEMA ni "Decentralization" lakini Katiba yake Iko kama ya CCM ime "centralize" mamlaka ya chama kwenye Kamati Kuu.

Ndiyo maana hata wewe unawataja hao kina Mbowe na Lissu. Yaani Mwenyekiti na Makamo Mwenyekiti CHADEMA Taifa

Ugatuaji madaraka ndiyo dhana ya CHADEMA. Jee ndiyo inayofuatwa??
 
1. Nimekupa maswali pale hukujibu hata moja!

2. Huu siyo utaratibu wa majadiliano nikadhani?

3. Mbona mimi ninajibu Kila kitu na kwa wakati?

4. Nikuombe kujibu maswali Yale tafadhali kutopteza muunganiko.
------------

"Baada ya kusema hayo nikutoe shaka, siandiki lolote kuhusu chaguzi zozote popote."

Ustaarabu ni kujibu hoja kwa hoja si kupambana na mleta hoja kama mtu.

Au wewe huoni hivyo ndugu?
 
Back
Top Bottom