Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA


Unaweza kuwa una hoja, ila iko kisiasa zaidi. Mikutano ya kidini kama kina Mwakasege, Mwamposa nk iko kila siku, na inafanana kwa mikusanyiko na hiyo ya siasa, mbona hiyo haikatazwi? Ama kwakuwa hii ya kisiasa inahatarisha ulaji wa walioko madarakani?
 
Tusubiri Mama analifanyia kazi. Mpaka mambo yatakapokaa sawa basi utekelezaji wake utafuatwa.
 
Miaka 60 ya uhuru mnaongoza ninyi na chama chenu stori ni hizo hizo mnajenga nchi lkn tumeendelea kuwa masikini tunahitaji katiba mpya sasa yatosha
 
Unaweza kutuonyesha kwa ushahidi kuwa kipindi mikutano ya hadhara inaruhsiwa ujenzi wa nchi ulisimama!?
Ujenzi wa nchi ni swala la kila siku,kipindi cha mwendazake maneno yalikuwa hayahaya najenga nchi,nanyoosha nchi,nasafisha nchi,ila sisi tulio hai leo ni mashahidi wa madudu yanayoonekana leo kama matokeo ya kauli & matendo ya mwendazake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We waache tu.

Tutaelewana tu muda ukifika
 
Wewe ulipata div 0 form four,na zaidi ya yote uliingia form one ukiwa na marinda lakini umeondoka form four ukiwa umefumuliwa marinda,tena siyo kwa kubakwa lakini kwa tamaa zako ukitaka kuishi kama mtoto wa kishua kumbe kwenu unalala chuma kimoja na mifugo. Yule jamaa wa kiarabu alikupatia kweli kweli maana alikufanya mkewe kabisa. Bora aliyepata div 0 kuliko wewe uliyegeuka shoga kwa tamaa ya viwalo tu.
 
Bill Gates alipata dvn ngapi?Usikariri maisha ndio maana mnasota mtaani na vi BA vyenu
 
0 nayo ni namba tu uhalisia wa maisha kuna wakati hauna msaada na namba za matokeo ya shule.
 
Magufuli amefanya maisha ya watu kuwa magumu kwa kutoangalia vipaumbele!Huwezi kuwa mjenzi tu ukasahau mambo mengine!Afadhali ameondoka mapema kabla nchi haijazama!
 
tangu muwe wapinzani mmeshindwa kujenga ofisi makao makuu ndo mpewe nchi mtaiweza?
Kwani hiyo nchi inaongozwa kwa matamko?

Jitahidi utapata kibarua hapo lumumba naona mnapigwa bao ni wahamiaji.
 
Winston Churchill waziri mkuu wa
zamani wa uingereza hakuwa msomi wa kiwango cha shahada lakini ndiye waaziri mkuu anaeheshimka kuliko wote katika historia ya Uingereza.
 

kila mtu anajua hilo, pamoja na ndugu yake lema ambae shule hajagusa kabisa
 
Ishu ya katiba sio nyepesi mzee! Hata wewe kwenye mambo ya kuamua kwenye familia yako lazima kuna jambo utasema hili tusubiri kwanza! Mm naamini atalifanyia kazi
Sijasema Katiba,nimemaanisha shughuli nyingine za kisiasa ambazo ni haki za kikatiba!Tujenge uchumi lakini pia na mbo mengine yaendelee!
 
Na wewe ambae hukufika form 6 utaitwale? je utajiri alionao unaufikia kwa kiasi gani? Acha hizo na yule mbunge wa geita ana elimu ya kiwango gani? muungwana haukumiwi kwa vidato?
 
Kwani mama samia alipata division ngapi kilaza tu na yeye
 
Jiwe alishakumbwa na kimbunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…