Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Vipi yule mwenye madigiriii yuko wapi?
 
Hili ndiyo Tatizo kubwa tulilonalo Watanzani. Badala ya kujenga hoja inayoweza kuwashawishi watu waelewe au wakubaliane na hoja zako sisi tunamshambulia mtu personally. Vijana lazima tubadilike tujifunze kujenga hoja.
Kwanamna vijana tunavyoenda ndiyo maana tukiitwa kuelezea matatizo yetu tunabaki kuongea pumbatuuu.

Mtoa hoja hebu tuambia elimu ya Mbowe na takwa la katiba mpwa vinamahusiano gani? Tupunguzeni kujipendekeza.

Humphrey alijulika na kuonekana kwa kujenga hoja alipopewa platform akabadilika yanii kikizazi hiki ndiyo tungekuwa enzi za mwalimu Nchi yeru isingepata Uhuru. Tumekuwa wanjinga sana.
 
Mababu zetu ambao hawakusoma kabisa ina maana wasingesikilizwa ?
 
Elimu inaweza kukubeba na inaweza kukushusha pia. Div 0 yake kaitumia vizuri hasa pale alipokubali kuoa binti wa mwenye chama ni bonge la ngekewa
Kama wewe ulivyoolewa na jiwe
 
Kwahiyo kipindi cha JK nchi ilisimama na kila siku ikawa mikutano ya kisiasa?Akili ndogo hizi!
Hata hiyo mikutano ikiruhusiwa,unadhani kuna chama kina uwezo wa kufanya hiyo mikutano kila siku?Acheni uvivu wa kufikiri unaowapelekea kuwa wajinga wajinga!
 
Division 0 ya mwenyekiti wa chama kikubwa cha siasa nchini vinahusiana vipi mikusanyiko ya kisiasa ambayo imeainishwa kikatiba ambayo mtawala ameapa kuilinda........

Njia rahisi na ya kudumu ni kuvifuta kabisa hivyo vyama vya siasa.....ili tujue kuwa nchi ni ya chama kimoja.......
 
Dikteta alikuwa hataki kukosolewa, Samia ameruhusu watu wamkosoe, Ni viwili tofauti,

Rest in hell JPM
 
Tumuache mama achape kazi ,Yeye mwenyewe kasema tumuache achape kazi ili uchumi uwe vizuri ndio atashughulikia katiba ,tuwe wavumilivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…