Habari wana Jamvi
Naweka record vizuri, Freeman Aikaeli Mbowe, Form 6 alipata Div 0, hivyo mtu wa Div 0 asije akasumbua kutaka mikusanyiko ya siasa wakati hakuna kampeni. Only indoors meeting ya vyama vya siasa haina shida, ila mikutano ya hadhara na kampeni zilishaisha hii haifai na haikubaliki hadi wakati wa kampeni kisheria ukifika. Hii ndio akili ya Mbowe, yaani kuwe na mikutano ya hadhara siku zote, nchi nzima, hii ndio madhara au matokeo ya Div 0. Nchi gani itakuwa kila kukicha mikutano ya hadhara? Hilo kamwe haliwezekani, vikao vya ndani hakuna tatizo. Uchumi gani utajengwa, au Mbowe kwa akili ya Div 0 anadhani kila siku kuwe na mikutano ya siasa, hiyo nchi ya wapi? That is rubbish. Div 0 outcome yake mnaona sasa.
Mh. Rais wetu, Mama Samia, umefanya uamuzi sahihi kabisa, tujenge uchumi kwanza, kwa sasa mikutano ya hadhara big Noooo, muda wa kampeni ukifika mikutano ya hadhara ruksa.. Mbowe wala asikusumbue ana div 0 kubwa.
Have a great day.