CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,048
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa mdogo wake Yesu. Ila nashukuru kuwa umekiri kuwa alikufa.Blaza usimuingize huyu Yesu kwenye mambo yenu ya kipumbavu. Yesu alikufa na akafufuka siku ya tatu.
Please respect your self
Babako jiwe yuko wapi?Issue ya baba inaingiaje? Alafu mimi si mfuasi wa jiwe ila nimeona habari hapo mwamba alikula 0
ila wewe utasugua benchi sana huko upinzani na mtabaki kuwa wapinzani mileleKwani hiyo nchi inaongozwa kwa matamko?
Jitahidi utapata kibarua hapo lumumba naona mnapigwa bao ni wahamiaji.
mbowe kastiba inamruhusu kukaa madarakani kwa vipindi vingapi? tuanzie hapo kwanzaSie hatutaki mbwembwe tunataka Katiba mpya.katiba gani rais anakuwa mungu mtu.haitufai ya zamani tunataka mpya
walijenga kwa hela za naniNa kwa ujinga wako unaamini ofisi zote, viwanja vya mpira n.k. wanazomiliki CCM walijenga kwa fedha zao wenyewe?
Amandla...
unaandika kama umeinamiwa na MUMEOMdude Nyagali ametoka RUMANDE kwa huruma ya mh. Rais Samia Suluhu Hassan......
Masheikh wa UAMSHO wanakula biriani mtaani kwa sababu ya huruma ya mh. Rais Samia Suluhu Hassan......
Mbowe amefutiwa kesi yake na kurudishiwa milioni zake 300 kwa sababu ya huruma ya mh. Rais Samia Suluhu Hassan......
Kwani MDUDE NA WENZAKE wangeendelea kukaa RUMANDE kingebadilika KIPI huku mitaani ?!!!!!!
#ChademaWameanzaKubeep
vyotembowe kastiba inamruhusu kukaa madarakani kwa vipindi vingapi? tuanzie hapo kwanza
we ndiyo chizi kabisa unaleta ubishi wa kitoto kumbevyote
Kabla ya muundo wa vyama vingi chama na serikali vilikuwa kitu kimoja. Viwanja vya michezo vingi ( Tabora, Sumbawanga n.k.) vilijengwa kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Tanganyika African National Union.walijenga kwa hela za nani
kwahiyo mnataka mpewe viwanja vya mpira?Kabla ya muundo wa vyama vingi chama na serikali vilikuwa kitu kimoja. Viwanja vya michezo vingi ( Tabora, Sumbawanga n.k.) vilijengwa kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Tanganyika African National Union...
Kaeni navyo. Kwa jinsi ambavyo hamjavihudumia ni bora kujenga vipya kuliko kuvikarabati. Lipeni tu kodi ya ardhi na ya majengo.kwahiyo mnataka mpewe viwanja vya mpira?
Mtu unapokuwa huna hoja, sio busara kuokoteza cha kuandika.Huyu Lissu yeye kwao si Kenya na anaipenda sana Kenya na Uhuru Kenyata ndio maana 2017 alimpigia kampeni Kenyata badala ya Odinga sababu alikuwa urafiki na marahemu?
Hata magufuli mlimpangia atawale milele saivi ameshakuwa chakula chá wadudu.ila wewe utasugua benchi sana huko upinzani na mtabaki kuwa wapinzani milele
Nmeandika nini cha uongo hapo?Mtu unapokuwa huna hoja, sio busara kuokoteza cha kuandika.
Hoja ni ipi?Nmeandika nini cha uongo hapo?
we kweli ni kimetaMachadema yatajua hayajui!
Kazi gani???Tumuache mama achape kazi ,Yeye mwenyewe kasema tumuache achape kazi ili uchumi uwe vizuri ndio atashughulikia katiba ,tuwe wavumilivu
Mimi nilidhani yote uliyotaja hapo juu yametekelezwa kwa uamuzi halali wa mahakama; kumbe yamefanyika kwa maelekezo ya Mh. Raisi?!Mdude Nyagali ametoka RUMANDE kwa huruma ya mh. Rais Samia Suluhu Hassan.
Masheikh wa UAMSHO wanakula biriani mtaani kwa sababu ya huruma ya mh. Rais Samia Suluhu Hassan...