Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Sie hatutaki mbwembwe tunataka Katiba mpya.katiba gani rais anakuwa mungu mtu.haitufai ya zamani tunataka mpya
 
Kwani hiyo nchi inaongozwa kwa matamko?

Jitahidi utapata kibarua hapo lumumba naona mnapigwa bao ni wahamiaji.
ila wewe utasugua benchi sana huko upinzani na mtabaki kuwa wapinzani milele
 
Mdude Nyagali ametoka RUMANDE kwa huruma ya mh. Rais Samia Suluhu Hassan......

Masheikh wa UAMSHO wanakula biriani mtaani kwa sababu ya huruma ya mh. Rais Samia Suluhu Hassan......

Mbowe amefutiwa kesi yake na kurudishiwa milioni zake 300 kwa sababu ya huruma ya mh. Rais Samia Suluhu Hassan......

Kwani MDUDE NA WENZAKE wangeendelea kukaa RUMANDE kingebadilika KIPI huku mitaani ?!!!!!!


#ChademaWameanzaKubeep
unaandika kama umeinamiwa na MUMEO
 
walijenga kwa hela za nani
Kabla ya muundo wa vyama vingi chama na serikali vilikuwa kitu kimoja. Viwanja vya michezo vingi ( Tabora, Sumbawanga n.k.) vilijengwa kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Tanganyika African National Union.

Ujenzi wake ulisimamiwa na serikali na ulilipiwa kwa kuwakata fedha watumishi wa umma na kuongeza bei ya baadhi ya bidhaa ( soda, bia n.k) na ile ya ziada ilienda kwenye ujenzi.

Nguvu za wananchi zilitumika pia. Chama kama chama hakikutoa thumni kwenye huo ujenzi hata katika upatikanaji wa sehemu ya kujengea.

Amandla...
 
Kabla ya muundo wa vyama vingi chama na serikali vilikuwa kitu kimoja. Viwanja vya michezo vingi ( Tabora, Sumbawanga n.k.) vilijengwa kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Tanganyika African National Union...
kwahiyo mnataka mpewe viwanja vya mpira?
 
Huyu Lissu yeye kwao si Kenya na anaipenda sana Kenya na Uhuru Kenyata ndio maana 2017 alimpigia kampeni Kenyata badala ya Odinga sababu alikuwa urafiki na marahemu?
Mtu unapokuwa huna hoja, sio busara kuokoteza cha kuandika.
 
ila wewe utasugua benchi sana huko upinzani na mtabaki kuwa wapinzani milele
Hata magufuli mlimpangia atawale milele saivi ameshakuwa chakula chá wadudu.

Kwahiyo hoja yako yakumaanisha utatawala milele ondoa kabisa.
 
Mdude Nyagali ametoka RUMANDE kwa huruma ya mh. Rais Samia Suluhu Hassan.

Masheikh wa UAMSHO wanakula biriani mtaani kwa sababu ya huruma ya mh. Rais Samia Suluhu Hassan...
Mimi nilidhani yote uliyotaja hapo juu yametekelezwa kwa uamuzi halali wa mahakama; kumbe yamefanyika kwa maelekezo ya Mh. Raisi?!

Nini maana ya Uhuru wa mahakama sasa?!
 
Back
Top Bottom