Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Acha kutupigia kelele!

Mdude tumenyoosha baada ya kuwa hana adabu na sasa kawa na adabu ndio sababu tumemuachia!

Mwambie akirudia atakiona! Si umesikia mama anasema anataka heshima na adabu za kiafrika?
 
Kwani hujui kwamba tulikuwa na DIKTETA? Kwanini Kikwete alikubali wahamishiwe Bara kwa tuhuma za Visiwani? Jaribu kutumia akili japo kiduchu. Unadhani huyo Samia alikuwa hajui kuhusu dhuluma na udhalimu uliokuwa unafanywa na dhalimu magufuli!? Si ALIUFYATA ili kitumbua chake kisiingie mchanga? Kama ni political will kwanini hakumpinga hadharani? Kwanini hakujiuzulu!?
Hakuna ukweli wowote wakati huyo mama alikuwa amekumbatia maovu yote ya dhalimu kwa miaka mitano leo anataka kujifanya eti ana usafi!!!!
Ningemuheshimu sana kama angepinga maovu hadharani au kujiuzulu vinginevyo ni mnafiki tu ambaye anataka kujisafisha na kujiweka mbali na dhalimu mwendazake wakati kwa miaka mitano hayo maovu anayoyaona leo hii HAKUYAONA.
 
Nani anawataka CHADEMA ?
 
Kwa hiyo MBOWE akisema HAPANA ndio anawasemea WATANZANIA WOTE?!!!

Hapana yake ni ya KIJINGA TU.....walisema HAPANA....na hawakutokea pale UBUNGO.....asimbabaishe mtu bana....

#KaziInaendelea
Kama hapana yake ni ya kijinga basi wewe ni mpumbavu kabisa kwani umeiotolea post. Ujue Mama hatoi teuzi za kimalaya malaya kama yule dhalim mwendazake.
 
Kama hapana yake ni ya kijinga basi wewe ni mpumbavu kabisa kwani umeiotolea post. Ujue Mama hatoi teuzi za kimalaya malaya kama yule dhalim mwendazake.
CCM haipumziki TEUZI zikipita....

Mbowe DIKTETA aliyebadili katiba ya CHADEMA na kuondoa kipengele cha UENYEKITI wa miaka 10 bila ya MAJORITY CONSENSUS hana legitimacy ya KUTISHA ,KUZODOA NA KUKEBEHI "kipang'ang'a hivyo"......
 
Unaongea Kama mtoto vile....

Kwa hiyo Samia aliyekuwa ni makamu Rais ajiuzulu na kuacha ndoto zake za KISIASA simply kwa sababu ya kutoridhishwa na uwepo wa ndani wa hao UAMSHO ?!! Khaaa....

Political will ninayosemea mimi ni ile "mikono yake mikubwa" KIKATIBA(presidential decree) iliyowatoa WOTE HAO......

Hata JK alikuwa na "MIKONO HIYO"...
Hata JPM alikuwa na "MIKONO HIYO".....

Kwani mh.Samia amewaogopa UAMSHO kufikia wakati wake kutolewa RUMANDE?!!!

Unajizungusha kwa kukataa kukubali tu kuwa mh.SAMIA "ameplay role" kubwa leo UAMSHO kujipiga BIRIANI nyumbani....na Mdude kwenda zake kula maparachichi.....

Halafu hebu ukue basi....uko Marekani eee?!!!

Unaongelea kujiuzulu Afrika kana kwamba ni kupinga "kamasi tu".....
 

Ndoto zake za kisiasa kwa kukumbatia maovu? Uliwahi kusikia kuhusu Mzee RUKHSA kujiuzulu kuhusu mauaji ya Shinyanga akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani? Unadhani yeye hakuwa na ndoto za kisiasa? Acha kuonyesha ujuha wako hadharani wewe!
Nani alikudanganya mie niko Marekani? Na Marekani na huu upuuzi wa Samia unahusiana nini!? 😳😳😳

 
Mfuate chato kama unampenda sana kuliko baba yako na mama yako
 
KAKURUPUKA Mkuu kwa kufuata nyayo za dhalimu magufuli. Hakuna chama chenye Wabunge kwa maana hiyo hakuna chama chochote kitakachoruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara. Mamlaka hayo anayapata wapi? Kuna kipengele chochote ndani ya katiba kinachompa madaraka kama hayo!? Jibu ni HAKUNA ni udikteta tu wa kutaka kung’ang’ania madaraka kwa kutumia njia haramu.
 
Mzee Rukhsa alipojiuzulu alikuwa ni makamu wa Rais ?!!

Unafananisha visivyofanana....Mzee Mwinyi alijiuzulu kwa kuwa WIZARA YAKE ilihusika na kadhia ile.....

Sasa Samia kama Makamu wa Rais anayesimamia sana mambo ya Muungano na mazingira anahusika nini na kujiuzulu kwa jambo linalohusu madaraka ya Rais wa nchi ?!!!

Nimekuuliza tu kuwa uko "Marekani" na si Afrika kwa huko kuongelea kujiuzulu Kana kwamba ni kusukuma "mlenda kooni".....

Bado unazunguka kihisia na si uhalisia....unakataa nini kuwa UAMSHO,MDUDE NYAGALI NA MENGI YALIYOFANYIKA(Uhuru wa vyombo vya habari) NDANI YA MUDA MFUPI NI UTASHI WA KISIASA?!!!

Ama SHERIA ZIMEBADILIKA muda huu mfupi ?!!!
 
Mfuate chato kama unampenda sana kuliko baba yako na mama yako
Acha undwanye na upopoma....

Kwani Baba yangu akifariki ndio nitazikwa naye kwa kuwa tu ninampenda sana?!!!

Hivi mnakunywaga "madude gani" alfajiri kupelekea kuwa mahobobo hivyo?!!!🤣🤣
 
Sasa Kaka, Kwanini hawakuachiwa kipindi Cha Magufuli au kipindi Cha JK na wanasheria walikuwepo? Hili suala mama samia anapaswa kupongezwa. Bado hamuoni Kama kafanya jambo jema. Ni Kama vile hamna shukrani kwake
 
Sasa Kaka, Kwanini hawakuachiwa kipindi Cha Magufuli au kipindi Cha JK na wanasheria walikuwepo? Hili suala mama samia anapaswa kupongezwa. Bado hamuoni Kama kafanya jambo jema. Ni Kama vile hamna shukrani kwake
Akikujibu bila MANENO MAKALI ya kedi na kukata unitag eee!!!
 
Kwani kuwa na nditoyza kisiasa kunaendana na nafasi uliyonayo katika Baraza la Mawaziri? Acha ujinga wewe!!!!
Hujui kwamba Makamu wa Rais ni mmoja wa washauri wa Rais na katiba inamtambua kama ni mrithi wa Rais kama Rais hawezi kuendelea kuwepo madarakani? Kwa hiyo kwa upumbavu wako kwa kuwa ana ndoto za kisiasa basi hiyo ni ticket yake ya kufumbia macho maovu na ili kulinda ndoto zake za kisiasa? Ndoto za kisiasa za Makamu wa Rais ni muhimu kwake kuliko maslahi ya nchi!? Mbona unaandika ujinga kiasi hiki wewe!?
Watanzania kama wewe ni WANAFIKI wakubwa sana na ndiyo chanzo cha hawa wahuni wa maccm kuendelexa uhuni wao kwa miaka chungu nzima sasa.
 
Huyo mama si alikuwa mmoja wa timu magufuli kama aliona maovu kwanini hakusema hadharani? Kitumbua chake alikiona muhimu sana kuliko haki za Watanzania kudhulumiwa?
Unakuwaje shukrani na dikteta anayetaka eti atengeneze uchumi kwanza kisha ndiyo katiba mpya. Uchumi atautengeneza kwa miaka miaka mingapi? 10, 20 au 30!?
Sasa Kaka, Kwanini hawakuachiwa kipindi Cha Magufuli au kipindi Cha JK na wanasheria walikuwepo? Hili suala mama samia anapaswa kupongezwa. Bado hamuoni Kama kafanya jambo jema. Ni Kama vile hamna shukrani kwake
 
Fatah El Sisi alinyonga hao brotherhood 500,wengine akawa ananyonga kidogokidogo,walinyooka.
Hapa mama aliwadekeza akidhani atakuwa tofauti na Magufuli kwao,wakamsifu,nae akajihisi ashawashika.

Leo ngoja wamuoneshe kwanini Magufuli alikuwa anawasweka ndani kila siku.
Wanatabia ya kuwatisha viongozi,kuwafanya mazezeta wao.

Najua ipo siku atakiri hadharani kuwa hawa jamaa ni mzigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ametekezaje wkt majuzi hapa alisema rais hakosei?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…