naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
[emoji15][emoji15] ahsante Kwa ufafanuzi [emoji3][emoji3][emoji3] kawakomoa lakini si wapo wale 19 [emoji2957][emoji2957][emoji2957]..Mama anasema wabunge peke yao ndio wenye haki ya kufanya mikutano ya hadhara.
..sasa ukiangalia composition ya bunge letu nadhani uamuzi wa Mama unazua maswali mengi kuliko majibu.
..Ndio maana wengine tunasema Mama ameteleza. Tumsaidie namna ya kunyanyuka.