Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

..Mama anasema wabunge peke yao ndio wenye haki ya kufanya mikutano ya hadhara.

..sasa ukiangalia composition ya bunge letu nadhani uamuzi wa Mama unazua maswali mengi kuliko majibu.

..Ndio maana wengine tunasema Mama ameteleza. Tumsaidie namna ya kunyanyuka.
[emoji15][emoji15] ahsante Kwa ufafanuzi [emoji3][emoji3][emoji3] kawakomoa lakini si wapo wale 19 [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Kwahiyo mhimili wa Mahakama unaingiliwa na Rais Samia....!!!?[emoji849]
Exactly,ndiyo point yake huyo zuzu. Halafu watu tukisema nchi kuongozwa kwa "mfumo wa mtu mmoja" ni upumbavu wa hali ya juu,wanasema tunakosea.
Mh. Rais Samia akitaka hii nchi ipige hatua kikweli kweli, basi aruhusu kutengenezwa kwa "mfumo wa pamoja". Na mfumo unaanza kutengenezwa kwa katiba ya wananchi.
 
Kwani hujui kwamba tulikuwa na DIKTETA? Kwanini Kikwete alikubali wahamishiwe Bara kwa tuhuma za Visiwani? Jaribu kutumia akili japo kiduchu. Unadhani huyo Samia alikuwa hajui kuhusu dhuluma na udhalimu uliokuwa unafanywa na dhalimu magufuli!? Si ALIUFYATA ili kitumbua chake kisiingie mchanga? Kama ni political will kwanini hakumpinga hadharani? Kwanini hakujiuzulu!?
Hakuna ukweli wowote wakati huyo mama alikuwa amekumbatia maovu yote ya dhalimu kwa miaka mitano leo anataka kujifanya eti ana usafi!!!!
Ningemuheshimu sana kama angepinga maovu hadharani au kujiuzulu vinginevyo ni mnafiki tu ambaye anataka kujisafisha na kujiweka mbali na dhalimu mwendazake wakati kwa miaka mitano hayo maovu anayoyaona leo hii HAKUYAONA.
Alitakiwa aendelee na misimamo ya JPM ili asiwe mnafiki?
 
Mnataka hyo katiba ili hii inch isitawalike..kila siku tuwe tunakimbizana mahakaman na kina lisu..hii ni africa wew
Mambo ya kitaifa usifanye ya mtu binafsi,hatuzungumzi katiba ya Lissu,tunazungumza katiba ya Tanzania. Nenda na HOJA achana na mambo Binafsi
 
Binafsi nimeshasema hivyo, hawa kumbe bora kuwalamba mijeledi na kuwafanyia umafia tu, ukiwaendekeza huwezi kutawala maana akili zao zakitoto saaana halafu hawajui maana ya siasa na kuongoza nchi..
Wewe ni punguani. Tanzania hatutaki "watawala", tunataka viongozi. Wewe unayetaka kutawala nenda kamtawale mumeo.
 
Kwa hiyo kwa akili yako fupi Samia ndiye aliyegundua kwamba hakukuwa na ushahidi wa kuwatia hatiani watuhumiwa? Samia tangu lini amekuwa lawyer? Na huo upelelezi kaufanya lini hadi lini ili kuhitimisha kwamba watuhumiwa hawana hatia!?
Political will kwenye kesi za kubambikia watu? Ulitaka aendelee kutumia mahakama kuminya haki za Watanzania ambao hawana hatia yoyote? Kumbuka HAKI siku zote huinua Taifa na dhuluma na udhalimu huangamiza Taifa.,
Kama huoni nguvu ya Rais SSH kwenye kufutwa kwa mashtaka ya UAMSHO basi wewe ni kipofu wa ubongo
 
Kuna wengi hawakuweka mtu yeyote ndani (Professor Balegu, Maalim Seif), nao hatunao tena!

Mwelekeo wa maoni yako ni kinzani na mengine:

 
Huyu Lisu yeye kwao si kenya na anaipenda sana Kenya na Uhuru Kenyata ndio maana 2017 alimpigia kampeni kenyata badala ya odinga sababu alikuwa urafiki na marahemu?
Mbona unapenda kunukuu watu vibaya na kupotosha jamii?
 
Kwani wewe huathiriki na kuminywa haki na uhuru wa Watanzania kuchagua Viongozi tunaowataka? Huathiriki na kuwa na vyombo vya habari kutokuwa huru? Huathiriki na nchi kutokuwa na chochote cha kujivunia baada ya miaka 60 ya uhuru? Ajira, elimu, afya, umeme, maji etc huathiriki na chochote kile?
Baada ya miaka 60 ya uhuru, ni kweli hatuna chochote cha kujivunia? Muwe mnamuogopa hata Mungu basi.
Ni kwa vile upunzani hawajawahi kuongoza nchi au una lingine? Unadhani nchi ikiongozwa na upinzani kutakuwa na maajabu yoyote?
Sijui kwanini huwa natamani mpewe nchi hata miaka mi5 tu ili nishuhudie maajabu yenu.
 
yaani uchaguzi umeisha 2020, wewe leo unataka ufanye mikutano ya siasa ya hadhara kila siku mitaani mpaka 2025....nini maana ya kuwepo kampeni kwenye uchaguzi?..

Hakuna jambo baya kama kuiweka nchi kwenye tension kila siku na watu kuacha kazi za msingi za kukuza uchumi matokeo yake kuwa busy kudeal na mikutano siasa...

Kama issue ni mikutano na ujenzi wa vyama, mikutano ya ndani na majimboni inatosha na sio active politics za mitaani na mabarabarani kila kukicha na kuleta ugumu kwenye shughuli nyingine za maendeleo na uchumi..
Haswaaa
 
Baada ya miaka 60 ya uhuru, ni kweli hatuna chochote cha kujivunia? Muwe mnamuogopa hata Mungu basi.
Ni kwa vile upunzani hawajawahi kuongoza nchi au una lingine? Unadhani nchi ikiongozwa na upinzani kutakuwa na maajabu yoyote?
Sijui kwanini huwa natamani mpewe nchi hata miaka mi5 tu ili nishuhudie maajabu yenu.
Majaribio nchi nzima kwa miaka 5?
 
Ni kwa ajili ya katiba mpya,hii si hitaji la CDM,ni hitaji la wananchi,Katiba hii ilipoandikwa mwaka 1977 ni dhahiri kwamba hata 30% ya population (population ilikuwa 17m)haikuwa imezaliwa,kuna shida gani watu kuulizwa na kuchangia mawazo wanataka waongozweje???Kama wanataka kuburuzwa tutajua kwenye mchakato,kwa nini hamtaki, kusikia maoni ya watanzania??kuna shida gani??.Kuna hofu gani,Vazi 1977,mnasema linafaha kuvaliwa 2021,pamoja na mapungufu yote yaliyo dhahiri.
Mama kama mwenyekiti wa CCM amesema mara kadhaa kwamba asubiriwe kidogo. Hapo utasemaje CCM hawataki katiba mpya?

Nini shida tena??
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 maza ANADEMKA sana anadhani Watanzania wote ni wajinga sana hivyo tuukubali uongo wake au janja janja kama alivyoiita Baba wa Taifa ya kuendelea kung’ang’ania madaraka kwa njia haramu.
Kwahio leo maza anademka
 
Uchumi utamalizika kurekebishwa lini?.
giphy.gif
Kaeni kwa kutulia
 
Acha kuandika ujinga wewe! Eti ametoka kwa huruma ya mama wakati hukumu inasema kwamba hakukuwa na ushahidi wa kumtia hatiani. Kwanini unaandika uongo kiasi hili kama vile wengine hatukusikia hukumu husika? Na nani aliyekudanganya huruma ya mama ndiyo iliwatoa masheikh wa uamsho!? Uwe unasikiliza kwa makini badala ya kuja hapa na kupindisha ukweli husika.
MBOWE NI MJINGA MJINGA. Sijui inakuwaje awe Mwenyekiti yule makengeza asiye na elimu.
 
Back
Top Bottom