Mkuu BAK Mapambano ni strategy hapo ndipo panapohitaji umakini:
www.jamiiforums.com
Kudos Mbowekumzingua, Lissu na pro haki wote.
Maneno ya Rais Samia ni Maoni si Msahafu, Msingi ni Katiba
Mama akiongea jana na wana habari alikumbusha kuwa alikuwa pale kwa maongezi zaidi wala hakupenda iwe hotuba. Mama alikuwa pale kubadilishana mawazo. Mama ni mwana diplomasia mahiri. Anajua anachokitaka na anajua kukiwasilisha vyema. Mama anakijua kiswahili sawasawa. Mama anacheza na lugha...
Kudos Mbowekumzingua, Lissu na pro haki wote.
Huyo mama si alikuwa mmoja wa timu magufuli kama aliona maovu kwanini hakusema hadharani? Kitumbua chake alikiona muhimu sana kuliko haki za Watanzania kudhulumiwa?
Unakuwaje shukrani na dikteta anayetaka eti atengeneze uchumi kwanza kisha ndiyo katiba mpya. Uchumi atautengeneza kwa miaka miaka mingapi? 10, 20 au 30!?