Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Kwa hiyo MBOWE akisema HAPANA ndio anawasemea WATANZANIA WOTE?!!!

Hapana yake ni ya KIJINGA TU.....walisema HAPANA....na hawakutokea pale UBUNGO.....asimbabaishe mtu bana....

#KaziInaendelea
Badala ya kutoa hoja kama Mbowe alivyofanya, wewe unakimbilia kutukana bila kutoa hoja.
Nani mjinga sasa, Mbowe au wewe!
 
Tuwe watulivu

Kila jambo na wakati wake

As long mama ana nia nzuri basi tuwe na imani nae, tumpe muda. Tusimtoe kwenye reli maana miluzi mingi humpoteza mbwa
 
Mama angejiuzulu kipindi cha mwendazake saiv tungekua na rais mskivu kama huyu ..au wazan kwa nafasi yake nani saiv angefanya vizur zaid yake
 
We unataka uchumi au katiba ...ajira au katiba sie hio katiba kwa africa hua zinanufaisha viongozi wa kisiasa ila ajira na uchumi ndio kitu kikubwa
 
Acha kuandika ujinga wewe! Eti ametoka kwa huruma ya mama wakati hukumu inasema kwamba hakukuwa na ushahidi wa kumtia hatiani. Kwanini unaandika uongo kiasi hili kama vile wengine hatukusikia hukumu husika? Na nani aliyekudanganya huruma ya mama ndiyo iliwatoa masheikh wa uamsho!? Uwe unasikiliza kwa makini badala ya kuja hapa na kupindisha ukweli husika.
Mathalani tungeambiwa hao wote amewatoa kwa huruma yake nani angemuelewa ? Lazima zitumike sababu za kufunika kombe mwanaharamu apite kama hizo za kutokuwa na ushahidi na mfano wa hayo.

Katika nchi zilizo pea watu kama Mbowe na mfano wake,hawatakiwi kudekezwa,naichukia sana Demokrasia.
 
Huu ujinga mnaoufanya yakianza tena yale yakina Sabaya na Konda boy tusilaumiane maana mnaanza wenyewe kuiweka nchi kwenye tension na taharuki za kipumbavu kabisa..mnapoichokonoa dola mkumbuke pia ina namna yake yakufanya kazi ili kila mtu aishi kwa amani....
 
Uchumi uendelee kujengwa lakini na mambo mengine lazima yaendelee!Tusitoe mwanya wa hivi maana itakuwa kisingizio cha kila Rais akiingia madarakani!
Ishu ya katiba sio nyepesi mzee! Hata wewe kwenye mambo ya kuamua kwenye familia yako lazima kuna jambo utasema hili tusubiri kwanza! Mm naamini atalifanyia kazi
 
We unataka uchumi au katiba ...ajira au katiba sie hio katiba kwa africa hua zinanufaisha viongozi wa kisiasa ila ajira na uchumi ndio kitu kikubwa
Sasa hivi hakuna katiba mpya, hizo ajira zipi? Na katiba mpya inazuiaje ajira?
 
Mimi sio CCM ila namuunga mama mkono. Tunahitaji faraja ya mama kwanza mioyo yetu iliyokuwa inavuja damu ipone kwanza na mengine yatakuja.
 
Huu ujinga mnaoufanya yakianza tena yale yakina Sabaya na Konda boy tusilaumiane maana mnaanza wenyewe kuiweka nchi kwenye tension na taharuki za kipumbavu kabisa..mnapoichokonoa dola mkumbuke pia ina namna yake yakufanya kazi ili kila mtu aishi kwa amani....

Kudai katiba ni chukizo kwa dola?
 
Safiii Mama yetu Samia, never allow mikusanyiko ya kisiasa, hadi uchaguzi ukaribie, ila vikao vya ndani ruksa.. Muda wa kampeni uliisha, sasa ni kujenga nchi, sio kila siku iwe mikutano ya siasa nchi nzima, mikusanyiko isiyoisha nchi nzima, hilo kamwe usiruhusu milele, vikao vya ndani vya vyama havina tatizo, mikusanyiko mwiko kabisa, hadi muda wa kampeni ufike..

Safii safiii Mama yetu Mh. Rais wetu Samia Suluhu Hassan.

Mh. Rais, usibabaike na Mbowe, form 6 ana division 0 kubwa, kataga kabisa. Disregard him.
 
Mbowe acha upumbavu....... Tumeridhika na Mama anavyoendsha nchi..

Unataka kuandamana ili.. Na hatuji.
Tuache Unaa.
 
Habari wana Jamvi

Naweka record vizuri, Freeman Aikaeli Mbowe, Form 6 alipata Div 0, hivyo mtu wa Div 0 asije akasumbua kutaka mikusanyiko ya siasa wakati hakuna kampeni. Only indoors meeting ya vyama vya siasa haina shida, ila mikutano ya hadhara na kampeni zilishaisha hii haifai na haikubaliki hadi wakati wa kampeni kisheria ukifika.

Hii ndio akili ya Mbowe, yaani kuwe na mikutano ya hadhara siku zote, nchi nzima, hii ndio madhara au matokeo ya Div 0. Nchi gani itakuwa kila kukicha mikutano ya hadhara? Hilo kamwe haliwezekani, vikao vya ndani hakuna tatizo. Uchumi gani utajengwa, au Mbowe kwa akili ya Div 0 anadhani kila siku kuwe na mikutano ya siasa, hiyo nchi ya wapi? That is rubbish. Div 0 outcome yake mnaona sasa.

Mh. Rais wetu, Mama Samia, umefanya uamuzi sahihi kabisa, tujenge uchumi kwanza, kwa sasa mikutano ya hadhara big Noooo, muda wa kampeni ukifika mikutano ya hadhara ruksa.. Mbowe wala asikusumbue ana div 0 kubwa.

Have a great day.
 
Kwa hiyo MBOWE akisema HAPANA ndio anawasemea WATANZANIA WOTE?!!!

Hapana yake ni ya KIJINGA TU.....walisema HAPANA....na hawakutokea pale UBUNGO.....asimbabaishe mtu bana....

#KaziInaendelea
Kumbuka : kauli ya mbowe ndio dira ya nchi
 
Back
Top Bottom