Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Sasa we mtu upitishwe Kwa goli la mkono kwa msaada wa Serikali,utakuwa na ujasiri Gani wa kuikosoa Serikali hiyo hiyo inayokupa mkate wako wa Kila siku!?Nchi inaendeshwa na kundi dogo sana, huenda wabunge ni kiini tu hakuna kazi hasa hawa jamaa wanaweza kufanya as kila kitu kinaamuliwa na hilo kundi dogo.
Hata miye ningekula mlungula maana hata nikikataa au nikubali hakuna nitakalobadilisha