Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Sasa we mtu upitishwe Kwa goli la mkono kwa msaada wa Serikali,utakuwa na ujasiri Gani wa kuikosoa Serikali hiyo hiyo inayokupa mkate wako wa Kila siku!?Nchi inaendeshwa na kundi dogo sana, huenda wabunge ni kiini tu hakuna kazi hasa hawa jamaa wanaweza kufanya as kila kitu kinaamuliwa na hilo kundi dogo.
Huwezi kutenganisha uuzaji wa bandari ya Bagamoyo chini ya serikali awamu ya 4 na haya yanayoendelea muda huu. Aliyekuwa na uchungu na nchi aliusitisha ule mpango ovu alipoondolewa sasa awamu ya 4 wamekuja vile vile wakivaa ngozi nyingineNchi inaendeshwa na kundi dogo sana, huenda wabunge ni kiini tu hakuna kazi hasa hawa jamaa wanaweza kufanya as kila kitu kinaamuliwa na hilo kundi dogo.
Huwezi binafsisha vya nyumbaniNa bandari za Zanzibar hazibinafsishwi. Tanganyika tuko mikononi mwa Mwarabu kwa miaka hiyo mnayoijua wenyewe.
Hamjui hata cha kufanya kwa vile mna swagwa kama ma ng'ombe na mna Laana.Toa ushauri tufanyaje sio kututukana tu.
Mbona mama mwenye chawa wake ni mwarabu pure kabisa, basi tuseme pia uarabu ni laana.Hamjui hata cha kufanya kwa vile mna swagwa kama ma ng'ombe na mna Laana.
Narudia tena kukwambia:
"Uafrika hasa utanzania ni LAANA"
Bold kabisa hii statement.
Ukitaka ushauri wa kufanya ni kuhama Tanzania kabisa na ku ukana Uraia ili kujitakasa na Laana.
Waarabu wanajitambua wako hapa kutafuta Faida ya Vizazi vyao.Mbona mama mwenye chawa wake ni mwarabu pure kabisa, basi tuseme pia uarabu ni laana.
Kundi dogo, watu wachache mno..huenda ndio wanasema kipi kifanyike, kipi kisifanyike...nani afanye, nani asifanye.Huwezi kutenganisha uuzaji wa bandari ya Bagamoyo chini ya serikali awamu ya 4 na haya yanayoendelea muda huu. Aliyekuwa na uchungu na nchi aliusitisha ule mpango ovu alipoondolewa sasa awamu ya 4 wamekuja vile vile wakivaa ngozi nyingine
Hilo nalo nenoWananchi tusisahau kukwepa kodi. Hii nchi haina cha kusaidia kutatua changamoto kuu
Kikao Cha Majambazi ya UchaguziBunge hili la mchongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii nchi ni ya Oligarchs.Nchi inaendeshwa na kundi dogo sana, huenda wabunge ni kiini tu hakuna kazi hasa hawa jamaa wanaweza kufanya as kila kitu kinaamuliwa na hilo kundi dogo.
Hao wote uliowataja, wameshalambishwa asali kitambo na Dellilah! Hivyo usitegemee maajabu....Hivi hatuna namna ya Kuingia Mstuni, kuukomesha Uhuni huu ?
Mbowe, Lisu, Zito. Wakati Umefika Sasa wa Kuachana na Maridhiano ya Midomo Mitupu... Na tushike Silaha tuingie Msituni !
Ndivyo Wenzetu wanavofanya...[emoji35][emoji35][emoji35]
Na wewe unatetea hapa, ni kwa sababu ya asali tu. Huna lolote.DP world ni kampuni kongwe kwenye sekta ya bandari duniani..,ilishaoperate hata baadhi ya bandari ndani ya ardhi ya USA..
Sijui mpaka sass kama bado wanaendelea baada ya amendment ya kiusalama kupelekwa kwenye bunge Ili Dp world inyang'anywe zile bandari 3 iliyokuwa ikiziendesha...
In short Kwa upigagaji ulioko kwenye bandari yetu....na urasimu usio na maana....
Ni mara mia kuipa tenda Dp world...
Baadhi ya wanasiasa wanaopiga piga kelele....
Wana maslahi binafsii Moja Kwa Moja kupitia kampuni walizonazo zinazobond na bandari Moja kwa moja.....
Huu ukweli hausemwi!....
Tutapata mapato pengine mara 3 zaidi!...ya kile bandari inachoingiza sasa....huu ni ukweli mchungu....
Baadhi ya wanasiasa wanaoikataa Dp world....
wanatumia nguvu kubwa kwa kuwa ukweli ni kwamba mirija yao itakuwa imekatwa RASMI!
Na hichi kitu watakipinga kwa jasho na damu Hadi tone la mwisho ...