Mbowe: Masharti ya DP World na Bandari yanazuia Serikali kujitoa, kuahirisha, kusitisha au kuvunja Mkataba

Tuanze kumwondoa mama.
 
Nimekuwa na kawaida ya kutokubaliana na mengi ayasemayo Mbowe na Chadema kwa ujumla. Lakini kwa hili nakubaliana naye kwa asilimia 100. Tuungane Watanzania kuokoa nchi.
 
Tumuunge mkono Mbowe na Chadema kwa ujumla wake!

Huu mkataba unapaswa kuwa daraja la kuiondoa CCM na Bunge lake!

Hii inafaa kuwa ticket ya Samia kurudia Zanzibar!

Uhuni ufike mwisho sasa!

#kataawahuni
 
Mabadiliko ya Katiba hayakwepeki. Huu utaratibu wa makamu wa Rais kushika madaraka ya Urais kwa miaka 5 kasoro, sinadhani kuna nchi nyingine dunia wanautumia!

Maana ni mfumo wa hovyo mpaka basi. Siku 90 zilikuwa zinatosha sana.
 
Tumuunge mkono Mbowe na Chadema kwa ujumla wake!

Huu mkataba unapaswa kuwa daraja la kuiondoa CCM na Bunge lake!

Hii inafaa kuwa ticket ya Samia kurudia Zanzibar!

Uhuni ufike mwisho sasa!

#kataawahuni
mbowe na chadema mnachotakiwa sasaivi ni kuipigania Tanganyika tu, kwasababu kule zanzibar hamnaga kitu mnapata. hamna hasara yeyote mkiitosa zanzibar. yaani watu hawazidi hata milioni mbili watusumbue WAtanganyika zaidi ya 58 milions? kweli?
 
I second. CCM must go.

Huwa nawekaga angalizo..... nalo ni

Chagua kwa Uangalifu 2025

....hata hivyo mbadala wake ni hatari zaidi. The revolution must be within CCM itself.

CCM must go!
Nakukumbusha mkuu nchi uchaguzi huwa geresha hivyo 2025 kitu pengine kinaweza saidia ni kutiana adabu ila kwa karatasi haiwezekani kamwe kuiondoa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…