Mbowe: Masharti ya DP World na Bandari yanazuia Serikali kujitoa, kuahirisha, kusitisha au kuvunja Mkataba

Mbowe: Masharti ya DP World na Bandari yanazuia Serikali kujitoa, kuahirisha, kusitisha au kuvunja Mkataba

Mama anataka kuwatupa watoto wake wachanga jalalani... Nilikuwa nasikia tu news Mama katupa mtoto wake wa kumzaa kwenye jalalani au kazika kichanga kikiwa hai au kakitumbukiza chooni n.k Huu mkataba hauna tofauti.. Mama Sir 100 Ukivuliwa nguo chutama
 
Tumuunge mkono Mbowe na Chadema kwa ujumla wake!
Labda ukiwa unamaanisha Chama kingine cha Siasa sawa.
Ila kwa....
Mbowe, No he has been part of the thorn....Problems....fastforward Ndoa ya CHADEMA na CCM ndio chanzo cha haya yote!

SSH hakuwa anaamini ile ' 'sauti' mwanzoni na vibwengo vyake mabegani,
Akaja kuyafungulia masikio yake kwa wanaokuja kumuangusha. Mbowe ni mmoja wapo. Sasa amefika sehemu hana jinsi, waliokuwa na akili wameona huo udhaifu na wametumia kisawasawa. Hawana cha kurudisha.

😡

Natamani kuwalaumu wale wa masaa 72!
 
Tutawaambia nini wajukuu zetu watapotuuliza mlikuwa wapi haya yakitokea!!!!
Mbona sisi Wajukuu wa akina Mangungo tuko poa tu na wala hatumlaumu Mangungo na hao Wajukuu wetu nao wataona Balida tu.
 
Tumuunge mkono Mbowe na Chadema kwa ujumla wake!

Huu mkataba unapaswa kuwa daraja la kuiondoa CCM na Bunge lake!

Hii inafaa kuwa ticket ya Samia kurudia Zanzibar!

Uhuni ufike mwisho sasa!

#kataawahuni
wale wazee wa CCM waliotaka kupindua meza nafiki wanaweza kuwa walikuwa sahihi, ingawa na wao waliboa sana baada ya kutaka kubadili katiba ili vipindi viwe miaka 7, ili mwenda aanze upya 2025 hadi 2039.

Nchi hii ina matatizo mengi mno, likipita hili linakuja na jingine.
 
Acha utani
Sio utani wewe si mjukuu wa Mangungo ni lini umewahi kumlaumu?

Mimi mwenyewe simlaumu Chief Mangungo hata Kinjekitile Ngwale aliyeua maelfu kwa kuwadanganya mimi simlaumu sijawahi kumlaumu.

Hata Wajukuu zetu hawatamlaumu Samia wala Magufuli wala Nyerere.

Wazungu Waarabu ndio wana utamaduni wa kulaumu na kujifunza kutokana na makosa sio sisi abadani asilani sisi ni Masokwe makakamavu.
 
wale wazee wa CCM waliotaka kupindua meza nafiki wanaweza kuwa walikuwa sahihi, ingawa na wao waliboa sana baada ya kutaka kubadili katiba ili vipindi viwe miaka 7, ili mwenda aanze upya 2025 hadi 2039.

Nchi hii ina matatizo mengi mno, likipita hili linakuja na jingine.
Ni bora hao, kuliko hawa. Wale hawawezi uza sijui ngorongoro, masai land, bandari n.k, kifupi hawawezi ruhusu mali ya nchi ipoteze kizembe kama hawa. Ni bora kuongozwa na dikteta anaejali maslahi ya watu wake na vizazi vijazo kuliko hawa wanaita demokrasia mara kufungua nchi wanaita eti tusitengwe na jumuia za kimataifa, huku bei za vitu vinapanda kila kitu juu.
 
Wanatembea kutafuta wawekezaji wakati huohuo wanafanya hujuma kwenye vyanzo vya umeme. Ni muwekezaji gani asiye kanjanja atakuja kuwekeza sehem ambayo umeme sio wa uhakika? Mankanjanja na wapiga dili ndio watakuja. Ndicho kilichopo nchin mwetu.
 
kweli arudi ZANZIBAR akapumzike, amechoka asiendelee kujishushia heshima uzeeni huku jamani
 
Tumuunge mkono Mbowe na Chadema kwa ujumla wake!

Huu mkataba unapaswa kuwa daraja la kuiondoa CCM na Bunge lake!

Hii inafaa kuwa ticket ya Samia kurudia Zanzibar!

Uhuni ufike mwisho sasa!

#kataawahuni
Daaa hatari
 
Back
Top Bottom