Mbowe: Mazungumzo ya Rais Samia tumeyapokea ‘positive’ na kwa tahadhari kubwa

Mbowe: Mazungumzo ya Rais Samia tumeyapokea ‘positive’ na kwa tahadhari kubwa

Hivi unaungana na Cheyo na Lipumba ili iweje ?
Umemuulizaswali zuri sana, lakini maajabu ni kwamba hana hata akili ya kujua maana ya swali lako ni ipi hasa?

Anajiandikia tu, mradi kaandika!
 
Yaani JPM alimweka Sabaya Hai kuhakikisha kuwa anammaliza Mbowe! Leo hii sabaya yuko wapi? Mbowe piga kazi
 
Nawashauri wapinzani waungane ili wawe na nguvu haina haja ya kuwa na vyama lukuki vya upinzani. Ikiwa wataunguna wananchi watakuwa na iman kubwa sana nao.

..kulikuwa na nafasi kwa Cuf-Maalim kujiunga na Chadema lakini wakaamua kujiunga na Act.

..tungeweza kupata chama cha upinzani chenye mtandao Tanganyika na Zanzibar lakini Cuf-Maalim walitunyima nafasi hiyo.

..Kwasababu umeitaja KENYA, na jinsi vyama vyao vinavyoungana, basi ungependekeza kuandikwa kwa SHERIA MPYA YA UCHAGUZI itakayoiga ya Kenya inayoruhusu vyama kutengeneza "coalitions" wakati wa uchaguzi.
 
Yaani JPM alimweka Sabaya Hai kuhakikisha kuwa anammaliza Mbowe! Leo hii sabaya yuko wapi? Mbowe piga kazi

..Na akateuliwa Miraji Mtatiro kuwa DC wa Ikungi ili kummaliza Tundu Lissu.

..Lakini wakaona 2020 ni mbali sana wakamshindilia marisasi Sept 2017 afe.

..Walipoona Lissu hajafa wakamnyang'anya ubunge, Miraji akagombea bila kupingwa.
 
Back
Top Bottom