USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,213
- 28,916
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi Wilayani Hai mara baada ya kumaliza kuhutubia Mkutano wa hadhani Jimboni Hai Leo.
Sababu ya kukamtwa kwake bado haijajulikana.
Kuna siku atajutia sana haya mambo
Mjinga anamkamata mwenye akili? Nani mjingaYule mjinga anaotumwa na wajinga anafanya mambo ya kijinga kisa anatumia madaraka yake kukamata watu kijinga, Cheo ni dhamana kwani atakuwa mkuu wa wilaya milele hapo hai
Itajulikana tu hawakawii kusema polisi nikamateni mbona mnaniogopa!
Safi sana!
Jiwe ndio kwanza ajipange, maana Bernad Membe bado hajaanza nae kupiga misumari yake.
CC: Mike Pompeo
usafi wake nini ?
Mbona wenyewe wanafanya jamani, tena hadharani, hii sio haki kabisaMwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi Wilayani Hai mara baada ya kumaliza kuhutubia Mkutano wa hadhani Jimboni Hai Leo.
Sababu ya kukamtwa kwake bado haijajulikana.
Tuliza mkia Dada maisha ya siasa kila MTU na raha zakeMbona wenyewe wanafanya jamani, tena hadharani, hii sio haki kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm wazidi dharaulika, Kukamata wapinzani ni kuwaongezea umaarufu binafsi na kwa vyama vyao.Hahaha ccm bwana. Nguvu nyingi akili kisoda.
Mmhh, kama huo ndio mtazamo wako, wenu huko, ndio dalili za uwezo wa kufikiri kupelea.
Itajulikana tu hawakawii kusema polisi nikamateni mbona mnaniogopa!
Safi sana!