JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 9,120
- 9,727
Inaeleweka kwa.kuwa.asili.yenu Rwanda.ndio maana haya.yanatokea. Msituletee mabalaa ya nchini kwenu Tz. Hatuna asili hiyo.
Inaeleweka kwa.kuwa.asili.yenu Rwanda.ndio maana haya.yanatokea. Msituletee mabalaa ya nchini kwenu Tz. Hatuna asili hiyo.
Ole Sabaya ana mamlaka gani ya kumzuia mbunge kufanya shughuli za kisiasa kwenye jimbo lake?Niliuliza hapa Ole sabaya ana taarifs mkaleta kejeli!
Jiwe anawashikisha adabu wapinzaniMwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi Wilayani Hai mara baada ya kumaliza kuhutubia Mkutano wa hadhani Jimboni Hai Leo.
Sababu ya kukamtwa kwake bado haijajulikana.
Zinasemaje hizo sheria
We ni pambaf na chizi mkubwa!
Mbowe ni Mbunge wa Hai na Ana haki zote za kufanya mikutano ya hadhara na ya ndani kwa Sheria za kibabe za Jiwe......!
Jiwe anawashikisha adabu wapinzani
Haya ni maelekezo toka Jiwe la Juu!Ole Sabaya ana mamlaka gani ya kumzuia mbunge kufanya shughuli za kisiasa kwenye jimbo lake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Badala ya kuongelea maendeleo ya jimbo yeye anaanza oh tume huru, sijui majeneza mia mbili yatayarishwe, sijui nini. Huo ni uchochezi. Wacha akamatwe tu.
Pumbavu sn we limamaItajulikana tu hawakawii kusema polisi nikamateni mbona mnaniogopa!
Sasa mambo ya Omar al Bashir yanaingiaje hapa; kwa mfano?Hata Omar al Bashir wa Sudan na wafuasi wake walikua wanaongea Kama wewe na boss wako magufuli .hakuna lenye mwanzo ambalo halina mwisho.
Weka hiyo video hapa tuone Kama kweli kayasema hayo....!Nje ya hapo ni URONGO na ubabaishaji mtupu!Badala ya kuongelea maendeleo ya jimbo yeye anaanza oh tume huru, sijui majeneza mia mbili yatayarishwe, sijui nini. Huo ni uchochezi. Wacha akamatwe tu.
Sikuweza kuchukua video kwa sababu cm yangu ni ya kizamani.Weka hiyo video hapa tuone Kama kweli kayasema hayo....!Nje ya hapo ni URONGO na ubabaishaji mtupu!
We lizombie mpk unatia kinyaa kwa maushuzi yako humu jf.Akili yote kwa mtakoBadala ya kuongelea maendeleo ya jimbo yeye anaanza oh tume huru, sijui majeneza mia mbili yatayarishwe, sijui nini. Huo ni uchochezi. Wacha akamatwe tu.