Mbowe mbaroni akidaiwa kutoa maneno yanayoashiria uchochezi, kuamsha hisia na chuki dhidi ya Serikali na Polisi. Aachiwa kwa dhamana

Mbowe mbaroni akidaiwa kutoa maneno yanayoashiria uchochezi, kuamsha hisia na chuki dhidi ya Serikali na Polisi. Aachiwa kwa dhamana

tukisema CCM wanaonea watu kuna mpuuzi mmoja anakuja kuwatetea, Pascal Mayalla njoo uone huku mnavyocheza rafu bila aibu
 
Police Anaenda kwenye kikao cha Ccm Na Kusema Ccm Oyeee

Mwingine kastaafu kawa Mwenyekiti sasa
Mnashangaa nini Mbowe kushikwa

Hata haini stui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polisi wamkamate Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, yeye kaandika kwamba Tanzania inahitaji tume huru ya uchaguzi.

Soure "My Life, My Purpose: A Tanzanian President Remembers" by Benjamin William Mkapa.

Mbona hawa Polisi hawamkamati Mkapa?

Huyo naye mnafiki tu.

Alipokuwa na madaraka kwa nini hakufanya jitihada za kuunda hiyo tume huru?

Hawa watu wakitokaga madarakani ndo huyakumbuka hayo mambo, baada ya wao kunufaika na muundo uliopo.

Yeye na wenzake wa wakati ule wangehakikisha nchi inaingia kwenye mfumo wa vyama vingi ikiwa na katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi, si ajabu tungekuwa mbali sana.

Bure kabisa.
 
Viongozi Wa upinzani wanyonge sana kwa hali iliyofikia tuamue moja.jeshi LA polis linatumika vibaya.rai yangu upinzani waondoe upole...
 
Tanzania tunatawaliwa na viongozi matahira haijawahi tokea, huko polisi ndo kbsaaaaaa,

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 
Tumefikia mahala pabaya hii nchi,kila siku nasema!ukwel utajulikana tu...

Democracy imepotea lakin tukizungumza haya mambo wapenzi wa vyama vyao watasema mtu fulan akomeshwe kwasababu ni mpinzan au chama tawala....

kuwen watu wakutafakar sana kuliko kuwa na mapenz ya vyama...
Nchi hii imefika mahala pabaya mnoo kidemocrasia..
Na hili lipo wazi,ukandamizaji wa haki na democrasia umekithiri,,,
Hakuna mantik yakuwa na vyama vingi...
Ni heri ifahamike wazi tuna chama kimoja...
 
Mlitarajia wafanyeje kama wameagizwa hivyo na Magufuli?.
 
Ni aibu kwa taifa kwa mtu kama Mbowe kukamatwa kisa tu kazungumzia madai ya tume huru ya uchaguzi.

Wamwachie mara moja bila masharti yoyoye yale.
 
Polisi wamkamate Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, yeye kaandika kwamba Tanzania inahitaji tume huru ya uchaguzi.

Soure "My Life, My Purpose: A Tanzanian President Remembers" by Benjamin William Mkapa.

Mbona hawa Polisi hawamkamati Mkapa?
Mkapa atavuliwa uanachama na Polepole
 
Badala ya kuongelea maendeleo ya jimbo yeye anaanza oh tume huru, sijui majeneza mia mbili yatayarishwe, sijui nini. Huo ni uchochezi. Wacha akamatwe tu.
Kwani kazi ya polis Ni kuwapangia watu cha kusema? Polis ndo nguvu ya ccm kwa sasa.nje ya hapo chaliii
 
Naomba kujuzwa huyu mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amekamatwa baada ya nani kulalamika?

Tafadhali jibu liwe fupi maana siasa ni sayansi isijekuwa ni utafutaji wa kiki.

Maendeleio hayana vyama!
 
Back
Top Bottom