mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,662
- 2,325
Na wanaomnyenyekea jiwe.
Hili Ni agizo toka juu, Ni aibu sana kwa kweli.wapi pameandikwa watu wasidai tume huru ya uchaguzi
Nani mlalamikaji?Jeshi la polisi la ccm,,
Ni aibu kwa taifa kwa mtu kama Mbowe kukamatwa kisa tu kazungumzia madai ya tume huru ya uchaguzi.
Wamwachie mara moja bila masharti yoyoye yale.
Uzuri hapo kitendo cha Mbowe kukamatwa hili suala la tume huru ya uchaguzi kuelewek na kuwafikia wengi, ikiwemo humu nchini na nje ya nchi.
Serikali ya dikteta,,,sikonge na mgambo wakeNani mlalamikaji?
JIWE KUUNani mlalamikaji?
Dikiteta uchwaraNani mlalamikaji?
Umeridhika sasa?Kamsaidie bibi yako
Naomba kujuzwa huyu mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amekamatwa baada ya nani kulalamika?
Tafadhali jibu liwe fupi maana siasa ni sayansi isijekuwa ni utafutaji wa kiki.
Maendeleio hayana vyama!
Mkuu mbona kwenye uchambuzi wa maswala ya siasa za kimataifa upo vizuri sana,huu upofu linapofika swala la wapinzani kukandamizwa unakuwa kama mtu aliyepewa cheo fulani pasipo jitihada zozote yaani unakuwa kama unarudisha fadhila.