Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Nchi imefika patamu sana !
Bangi zimekuharibu hadi unatumika bila utaratibuEti haogopi kufa mbona siku ile pale kinondoni alikimbia risasi hadi ikaenda kumwua mtoto wa watu
Ni aibu kwa taifa kwa mtu kama Mbowe kukamatwa kisa tu kazungumzia madai ya tume huru ya uchaguzi.
Wamwachie mara moja bila masharti yoyoye yale.
Waulize viongozi wa Chadema popote walipo jinsi Magu anavyowapelekeshaHana uwezo wa kumshikisha adabu mtu yeyote zaidi ya mke we
Speculation?? Who wanted to kill HE TAL??
Wanapelekeshwa na polisi na tissccm kwa amri haramu za JPM lakini kwa siasa na hoja magu yuko hoi bin taabani.Waulize viongozi wa Chadema popote walipo jinsi Magu anavyowapelekesha
Bibi yako mzaa babu yako
Yameanza toka Magufuli kawa rais?
Ndo maana unanishangaa. Si ajabu uko katoto kalikoanza kubalehe majuzi.
Nipo humu toka day one. Nisome vizuri.
Sasa hapa mtu atasema viongozi wa upinzani hawaonewi ?!. Jimboni kwako kwa wapiga kura wako !!. Halafu anakuja mteule moja anamharibia Rais
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwana mtoka pabaya.