Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujiuzuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujiuzuru.
Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.