Ostrich eggs
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 638
- 453
Kubali tu kwamba umekaukiwa hojawachaga watalia sana kutatokea chadema A na B
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubali tu kwamba umekaukiwa hojawachaga watalia sana kutatokea chadema A na B
Kwa akina Mbowe hakuna jipya tena kwa michezo tuliyoiona hv karibuni tutarajie siasa za ujanja ujanja tu kutoka kwa akina mbowe na akina Tundu Lisu,yaan kwa sasa hawa jamaa wataongea na kufanya vitu ambavyo hawavimaashi zitakuwa ni Chenga tu na kuwahadaa watanzania.Walishajilambia Asali yao zamani.
wachaga watalia sana kutatokea chadema A na B
Anakimbizana na bk2 huyo.Hakuna neno kukiudhuru,Kuna kukiudhuru na kujiuzuru.
Vipo vyama zaidi ya 22, si uende mkainunue Umoja Party.Kama CHADEMA watafanikiwa ktk hili Basi watakuwa wamejitambua kwa kina,hawa akina Mbowe hakuna wanachoweza kuongea kwa sasa,hawa ni madalali wa Siasa za kipumbavu na zilizojaa deal tu.Hakuna mtu anayekera kama mtu uliyekuwa unamuona anajielewa kumbe ni mpuuzi tu.
Kuna vyama zaidi ya 22, nenda katafute chama huko uwe Mwenyekiti/Mkuu wa chama au zaidiKwa akina Mbowe hakuna jipya tena kwa michezo tuliyoiona hv karibuni tutarajie siasa za ujanja ujanja tu kutoka kwa akina mbowe na akina Tundu Lisu,yaan kwa sasa hawa jamaa wataongea na kufanya vitu ambavyo hawavimaashi zitakuwa ni Chenga tu na kuwahadaa watanzania.Walishajilambia Asali yao zamani.
Anayelambisha asali naye apigwe chini kabla hajaleta uharibifu mukubwa ndani ya nchi hii.Wampige chini huyo mlamba asali.
Ni kiraza tu kama wewe ndio unaweza ukadhani alifanya kosa lakini kwa watu wanaojua protocol za uongozi PM alikuwa sahihi kwa 100%Na yule PM aliyetuongopea kuwa President Magufuri yupo na afya na anaendelea na majukumu yake wakati yupo ICU fighting for his life,atajiuzuru lini?au ameshajiuzuru kwa kuliongopea Taifa!
Kumbe bado vigazeti vya kipumbavu bado vipo?Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujihuzuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujihuzuru.
Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.View attachment 2283487
Umuhimu wa Mbowe kuiongoza CHADEMA umefikia mahali kuwa siyo wa lazima.Acheni kupotosha mbowe kwa hiyari yake binafsi yupo mbioni kuuachia uwenyekiti, ili apate muda zaidi wa kuiimarisha miradi yake na ya kifamilia inayotetereka, hivyo atabaki ndani ya chama lakini huenda haraka za kichama akazipunguza na huenda akagombea ubunge wake na akabakia kama mbunge na endapo chama kama kitakuwa kinahitaji nasaha zake basi atasaidia katika shughuli za namna hii, binafsi nimpongeze mbowe kwa hili, ALUTA CONTINUA.
KujihuzuRu[emoji849]Ebu andika wewe neno sahihi
Ya huyu hapa[emoji116]Yeye ni takataka ya nani?
Mbona kitambo sana,sema hilo gazeti la kufungia vitafunwa limechelewa kupata habari..shaka hamidu shaka tumekusikia,acha kutumia mkorogoGazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujihuzuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujihuzuru.
Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.View attachment 2283487
Na yule PM aliyetuongopea kuwa President Magufuri yupo na afya na anaendelea na majukumu yake wakati yupo ICU fighting for his life,atajiuzuru lini?au ameshajiuzuru kwa kuliongopea Taifa!
Upumbavu at its best!Wewe nae huna akili,kwani nyerere alipofariki huko London titumia siku ngapi kujua kwamba kafariki?,misiba uwa ina utaratibu wake wa kuiandaa ili Watu wajipange,Muulize mama yako au mzee wako mtu akifa kwenu utaratibu upi uwa unatumia kabla ya kutoa taharifa za msiba kwa majirani.
vipeperushi vya mashoga na mashoga ya ccm mnafikir mbowe ni mbatia jaribuni kama hamjaongeza umarlarufu wa mbowe mlishindwa kwenye kesi ya ugaidi mje muweze leo lumumba bana wajinga kweli.Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujiuzuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujiuzuru.
Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.View attachment 2283487