Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo siku ya Kiswahili, unaandika KUJIHUZURUGazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujihuzuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujihuzuru.
Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.View attachment 2283487
Leo siku ya kimataifa ya kiswahili, unaandika KUJIHUZURU kweli?Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujihuzuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujihuzuru.
Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.View attachment 2283487
DJ anatafuta sababu ya kukaa pembeniGazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujihuzuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujihuzuru.
Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.View attachment 2283487
Kweli siku ya kiswahili umeandika nonsense ,dah!Leo siku ya Kiswahili, unaandika KUJIHUZURU
Leo siku ya kimataifa ya kiswahili, unaandika KUJIHUZURU kweli?
Nimeishia hapo nimeona its nonsense.
Yeye ni takataka ya nani?Samia aachane na hizi takataka za Mwendazake.
Hakuna njama. Achana na vihoja vya ki-musiba musiba vilivyoandikwa kwenye kijarida hichoMbona wanamsukia njama sasa
Na ndio hawezi kupenda wanae huyo mpk kifo.Wangekuwa na hiyo plan wangefanya wakati ule Jamaa yupo Mahabusu, lakini Kwasasa ni ngumu akiwa Uraiani.
Hata hivyo kama walishindwa kuwang'oa wenyeviti wa TLP/NCCR ndiyo iwe CDM. Huyo kuondoka hapo ni mpaka apende mwenyewe.
Unaweza kuta ndio wao.
Yaonekana unahangaika sana kupata wa kukisoma kigazeti chako.Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujihuzuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujihuzuru.
Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.View attachment 2283487
Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujihuzuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujihuzuru.

Ukweli hastahili tena na hii ni baada ya kulamba asali. Tuangalie mwenyekiti toka kanda nyingine.