Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hilo sukuma gang hawalioniAcheni kupotosha Mbowe kwa hiyari yake binafsi yupo mbioni kuuachia uwenyekiti, ili apate muda zaidi wa kuiimarisha miradi yake na ya kifamilia inayotetereka, hivyo atabaki ndani ya chama lakini huenda harakati za kichama akazipunguza na huenda akagombea ubunge wake na akabakia kama mbunge na endapo chama kama kitakuwa kinahitaji nasaha zake basi atasaidia katika shughuli za namna hii, binafsi nimpongeze Mbowe kwa hili, ALUTA CONTINUA.