Mbowe mbioni kung'olewa CHADEMA

Mbowe mbioni kung'olewa CHADEMA

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,207
Reaction score
17,674
Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujiuzuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujiuzuru.

Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.
20220707_142631.jpg
 
Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujihudhuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujihudhuru.

Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa Dk Slaa mwaka 2015.View attachment 2283487
Watango'olewa mabeberu wa ulaya na America,ila Mwamba atakuwepo TU😂😂
 
Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujihudhuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujihudhuru.

Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.View attachment 2283487
MAGAZETI YA KUFUNGIA CHAPATI HAYO NI KICHAA TU NDIO ANAWAZA HIVYO
 
Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujihudhuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujihudhuru.

Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.View attachment 2283487
Wangekuwa na hiyo plan wangefanya wakati ule Jamaa yupo Mahabusu, lakini Kwasasa ni ngumu akiwa Uraiani.

Hata hivyo kama walishindwa kuwang'oa wenyeviti wa TLP/NCCR ndiyo iwe CDM. Huyo kuondoka hapo ni mpaka apende mwenyewe.
 
Acheni kupotosha Mbowe kwa hiyari yake binafsi yupo mbioni kuuachia uwenyekiti, ili apate muda zaidi wa kuiimarisha miradi yake na ya kifamilia inayotetereka, hivyo atabaki ndani ya chama lakini huenda harakati za kichama akazipunguza na huenda akagombea ubunge wake na akabakia kama mbunge na endapo chama kama kitakuwa kinahitaji nasaha zake basi atasaidia katika shughuli za namna hii, binafsi nimpongeze Mbowe kwa hili, ALUTA CONTINUA.
 
Na yule PM aliyetuongopea kuwa President Magufuri yupo na afya na anaendelea na majukumu yake wakati yupo ICU fighting for his life,atajiuzuru lini?au ameshajiuzuru kwa kuliongopea Taifa!
Hata Samia akiwa VP alisema Magufuli mzima anatusalimia. Nae atajiuzuru lini?
 
hata Kama atakihushuru sio mbaya ,kalamba asali vya kutosha ,awachie na akina mnyika nao walambe asali!! Maana hiki chama ni walamba asali wote!
 
Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujihudhuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujihudhuru.

Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.View attachment 2283487
Hakuna neno kukiudhuru,Kuna kukiudhuru na kujiuzuru.
 
Na yule PM aliyetuongopea kuwa President Magufuri yupo na afya na anaendelea na majukumu yake wakati yupo ICU fighting for his life,atajiuzuru lini?au ameshajiuzuru kwa kuliongopea Taifa!
Jana katajwa kuhusika na viuatilifu feki.Diblo Dibala,Diblo Dibalaaa.Tintiiii tililii,tili tili rimi ntiiiiiii.
 
Back
Top Bottom