Watango'olewa mabeberu wa ulaya na America,ila Mwamba atakuwepo TU😂😂Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujihudhuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujihudhuru.
Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa Dk Slaa mwaka 2015.View attachment 2283487
MAGAZETI YA KUFUNGIA CHAPATI HAYO NI KICHAA TU NDIO ANAWAZA HIVYOGazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujihudhuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujihudhuru.
Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.View attachment 2283487
Wangekuwa na hiyo plan wangefanya wakati ule Jamaa yupo Mahabusu, lakini Kwasasa ni ngumu akiwa Uraiani.Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujihudhuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujihudhuru.
Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.View attachment 2283487
Hata Samia akiwa VP alisema Magufuli mzima anatusalimia. Nae atajiuzuru lini?Na yule PM aliyetuongopea kuwa President Magufuri yupo na afya na anaendelea na majukumu yake wakati yupo ICU fighting for his life,atajiuzuru lini?au ameshajiuzuru kwa kuliongopea Taifa!
Nakumbuka Rais Samia akiwa Tanga alisema kuwa kwa binadamu kuugua ni jambo la kawaida. Kauli ile aliashiria kuwa Rais Magufuli ni mgonjwa.Hata Samia akiwa VP alisema Magufuli mzima anatusalimia. Nae atajiuzuru lini?
Hakuna neno kukiudhuru,Kuna kukiudhuru na kujiuzuru.Gazeti la Tanganyika toleo la leo limekuja na mkakati mzima unaosukwa kumng'oa Mbowe Chadema kupitia kumlazimisha kujihudhuru uenyekiti mwenyewe mithili ya waziri mkuu wa Uingereza bwana Boris Jonhson anavyolazimishwa kujihudhuru.
Wasuka njama hizo wanasema Chadema chini ya mwenyekiti Mbowe haiendi mbele imedumaa kwa kupoteza wanachama wengi na wabunge tangu ilipoachwa na Dk Slaa mwaka 2015, hivyo wanataka kumng'oa Mbowe ili wapate mwenyekiti mpya mwenye fikra mpya na nguvu mpya kwa kukifufua na kurejesha imani ya chama kwa watanzania walio wengi.View attachment 2283487
Jana katajwa kuhusika na viuatilifu feki.Diblo Dibala,Diblo Dibalaaa.Tintiiii tililii,tili tili rimi ntiiiiiii.Na yule PM aliyetuongopea kuwa President Magufuri yupo na afya na anaendelea na majukumu yake wakati yupo ICU fighting for his life,atajiuzuru lini?au ameshajiuzuru kwa kuliongopea Taifa!