Mbowe mbioni kung'olewa CHADEMA

Hilo gazeti ni sawa na Tanzanite la yule fala na anayelotia maanani naye ni fala pia
 
Ndiyo maana ameenda kuaga kwa waziri mkuu?
 
Kanda ya ziwa ndiyo kuna watu wenye akili na uzalendo, kanda zingine ni uvivu na wizi ndiyo vimejaa
 
Mbowe toka alipomuangukia mama kama na safari za Ikulu ikawa hazitindiki na kutolewa jela kwa vipande 30 hakurudi tena kama Mbowe, ameacha kudai katiba mpya na kila kitu, nilidhani mbowe atakuwa mtu wa mwisho kununuliwa na CCM lakini miezi 8 aliyokaa jela tu, uzalendo ukamshinda na kusarenda ambapo break ya kwanza baada ya kutoka akatinga Ikulu
 
Hajajaja
 
Pole ndugu, ukijiruhusu kupata usingizi wa kutosha utaweza kupata nafuu. Matatizo yakizidi utahitaji kuonana na dakitari wa afya ya akili.
Wachaga na saccos yao ya chadema
 
Paul Makonda ndani ya nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…