Mbowe: Mimi Watanzania wananipenda sana, tatizo hii Mitandao inapotosha na hii ni kazi ya kakikundi kadogo ka watu wabaya

Hujaelewa wapi?

Mbowe anasema anapingwa na watu wa mitandaoni tu.

Kauli yake hii ingeweza kuwa na mantiki kama ingekuwa hakuna mwanachama wa CHADEMA anayempinga.

Sasa hivi, si kwamba kuna wanachama wa CHADEMA wanampinga, mpaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA anampinga kwenye kugombea uenyekiti, anasema Mbowe ni muongo.

Huyo si mtu wa mitandaoni tu, huyo ni Makamu wa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Huelewi wapi?
 
Kwanza huyo Mbowe anafanya nini huko Azam TV saa hizi wakati wenzake wapo Dodoma wakiimba Sasa kumekuchaaa, Sasa kumekuchaaa......
 
Aache woga wa kiccm kukimbia midaharo
 
Kwanza huyo Mbowe anafanya nini huko Azam TV saa hizi wakati wenzake wapo Dodoma wakiimba Sasa kumekuchaaa, Sasa kumekuchaaa......
Wamemwambukiza tayari na tabia za kukimbia midaharo.
Hiyo tabia ya kukacha midaharo ni ya kiccm, naona kaamua kuwa mwenzao kabisa
 
Huyu nae huyu
 
Lema kamwambia WENJE alienda kwenye press Jana akiwa Kapiga tungi..

WENJE aache kwenda kwenye press akiwa kautwika...

All in all,
Lema yupo very smart kwenye ujengaji hoja ( smart upstair) Ila mjaluo ojwang alikua anamumunya mumunya mdomo / maneno na kaudhihirishia umma hastaili kugombea umakamu uenyekiti Wala kua mwanachama wa chadema.
 
Interesting.

Sijui kama CHADEMA itakuwa ile ile (ita-survive) kwa hizo hesabu za CCM. Nauona mwisho wa "People's Power".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…