Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaelewa wapi?Sijaelewa mantiki ya swali lako, hakuna kwenye interview Mbowe amemtaja Lisu kuwa wa mitandaoni.
Kauli ya Mbowe mitandao ina faida na hasara kwa jamii ikitumika vyema au vibaya.
Mfano kama kura zinapigwa mtandaoni Lisu ameshashinda huu uchaguzi, lakini ukienda field huu uchaguzi wa Lisu na Mbowe ni hitimisho tu, safu zilishapangwa tangu uchaguzi wa mikoa na kanda.
Huu ni uchaguzi wa hesabu wala hakuna influence ya mitandao kupinduwa matokeo.
Aliyeandaa network yake vizuri tangu uchaguzi wa mikoa na kanda huyo ndio mshindi.
Kwa majabari ya siasa kura za simple majority kuna wataalam wa kucheza nazo vizuri tu hakuna baunsa mbele ya njaa.
Kwanza huyo Mbowe anafanya nini huko Azam TV saa hizi wakati wenzake wapo Dodoma wakiimba Sasa kumekuchaaa, Sasa kumekuchaaa......Freeman Mbowe amesema katika mahojiano yake na Azam TV kuwa anafanyiwa character assassination na wabaya wake kwenye Mitandao ili aonekane hakubaliki ila ukweli ni kwamba yeye anakubalika sana na bado anasifa za kuendelea kuwa kiongozi wa Upinzani.
Mbowe anasema wale wote wanaonesha tabia zisizo za Kichadema watashughulikiwa baada ya Uchaguzi.
Usiondoke Jf kwa habari motomoto
Kwa maana hiyo iwe jua iwe mvua Mbowe atashidaPigia mstari watashughulikiwa
Aache woga wa kiccm kukimbia midaharoFreeman Mbowe amesema katika mahojiano yake na Azam TV kuwa anafanyiwa character assassination na wabaya wake kwenye Mitandao ili aonekane hakubaliki ila ukweli ni kwamba yeye anakubalika sana na bado anasifa za kuendelea kuwa kiongozi wa Upinzani.
Mbowe anasema wale wote wanaonesha tabia zisizo za Kichadema watashughulikiwa baada ya Uchaguzi.
Usiondoke Jf kwa habari motomoto
View attachment 3204258
Wamemwambukiza tayari na tabia za kukimbia midaharo.Kwanza huyo Mbowe anafanya nini huko Azam TV saa hizi wakati wenzake wapo Dodoma wakiimba Sasa kumekuchaaa, Sasa kumekuchaaa......
Legeza tako dawa sindano single, acha kuwewesekaTundu Lisu ndio mamlaka ya nidhamu Chadema, anashindwa kutimiza wajibu wake anakuja kubwatabwata mitaani.
Huyu nae huyuFreeman Mbowe amesema katika mahojiano yake na Azam TV kuwa anafanyiwa character assassination na wabaya wake kwenye Mitandao ili aonekane hakubaliki ila ukweli ni kwamba yeye anakubalika sana na bado anasifa za kuendelea kuwa kiongozi wa Upinzani.
Mbowe anasema wale wote wanaonesha tabia zisizo za Kichadema watashughulikiwa baada ya Uchaguzi.
Usiondoke Jf kwa habari motomoto
View attachment 3204258
Interesting.Sijaelewa mantiki ya swali lako, hakuna kwenye interview Mbowe amemtaja Lisu kuwa wa mitandaoni.