Mbowe miongoni mwa wasaliti wa Vyama vya upinzani wa kweli kuwahi kutokea

Mbowe miongoni mwa wasaliti wa Vyama vya upinzani wa kweli kuwahi kutokea

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Wanaomfuatia ni pamoja na Lipumba.

Subirini mtaona mengi.

images (1).jpeg
 
Pole sana. Mjomba Mbowe endelea kushikilia hapohapo, usikubali kuachia kikoba chetu. Wachagga hatuta kuelewa.
 
😀😀😀😀😀

Huyu ataishi pabaya zaidi

Kuuza damu za watu hakutamuacha salama

Kumbe ndio maana Heche na Lema wapo kimya !!

Ndio maana lema kaona Bora aende zake Canada aachaene na huu usenge
Hahahah Mbona Mtasema
 
Nashindwa Kuelewa Elimu ya Tanzania
Kwanini Vijana Wanashindwa Kutumia IQ kujua Siasa Za Tanzania Zipoje!?
Nikweli vijana wenye Akili zao Wana amini Mbowe Anaweza Iangusha CCM kweli?
 
Mbowe naye kumbe ni mpumabavu kama wapumbavu wengine tu. Hili lizee linakiharibu chama lilichokipambania kwa muda wote.
 
😀😀😀😀😀

Huyu ataishi pabaya zaidi

Kuuza damu za watu hakutamuacha salama

Kumbe ndio maana Heche na Lema wapo kimya !!

Ndio maana lema kaona Bora aende zake Canada aachaene na huu usenge
Kijana si umesema umeacha Siasa sasa mbona una randaranda humu.....
 
😀😀😀😀😀

Huyu ataishi pabaya zaidi

Kuuza damu za watu hakutamuacha salama

Kumbe ndio maana Heche na Lema wapo kimya !!

Ndio maana lema kaona Bora aende zake Canada aachaene na huu usenge
Wale mods walikuwa wanatupiga barn za wiki wiki mbili sijui kwa Sasa wapo wapi
 
Jia pekee ni kuondoa kwenye hicho kiti na kumuweka Tundu Lisu.
 
Nashindwa Kuelewa Elimu ya Tanzania
Kwanini Vijana Wanashindwa Kutumia IQ kujua Siasa Za Tanzania Zipoje!?
Nikweli vijana wenye Akili zao Wana amini Mbowe Anaweza Iangusha CCM kweli?
kwani nchi inaangushwa na kiongozi au Raia? Tanzanua imejaaa wajinga sana na wanajificha kwenye vichaka vya watu.

Sikiliza wewe mjinga kinacho ipa Vibe siasa za Kenya sio wakina Rail Odinga bali ni Wakenya wenyewe ambao walisha jitambua tangu enzi na enzi.

Bongo bado kumejaa mazezeta sasa ni full kujificha kwenye vichaka vya mtu.
 
Jia pekee ni kuondoa kwenye hicho kiti na kumuweka Tundu Lisu.
Kenya wao mbona wanapambana bila kutegemea mtu? Wakenya hata kiongozi wa Wanacho labda palr Nairobi University anao uwezi wa kuitisha maandamani na raia wa kawaida wakatoka.

Sasa endeleeni kitegemea mtu mulivyo wajinga
 
Ndio maana lema kaona Bora aende zake Canada aachaene na huu usenge
Afadhali Lema anasehemu ya kukimbilia lakini sisi tutabakia kusakwa na kuwindwa kama Digidigi na kupotezwa,kuuwawa na maiti zetu kuliwa na Fisi.

Hayo maridhiano ya Mbowe yanafaida gani wakati Vijana kwa Wazee wanauwawa na Mapolisi yasiyojulikana.
 
Back
Top Bottom