'Chagga Development Manifesto(CHADEMA)'Pole sana. Mjomba Mbowe endelea kushikilia hapohapo, usikubali kuachia kikoba chetu. Wachagga hatuta kuelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'Chagga Development Manifesto(CHADEMA)'Pole sana. Mjomba Mbowe endelea kushikilia hapohapo, usikubali kuachia kikoba chetu. Wachagga hatuta kuelewa.
Naona Tanzania mna definition yenu pekee yenu ya what is Oppositions, Kwingineko Duniani Opposition ni ideology na ndio maana some time inaanzishwa na wanafunzi wa vyuo vikuu, some time wafanyakazi, na kadhalika. Sasa Bongo mlivyo pimbi mnaamini katika mtu, yaani mnamtegemea mtu mmoja mmoja, Huu ni ujinga.😀😀😀😀😀
Huyu ataishi pabaya zaidi
Kuuza damu za watu hakutamuacha salama
Kumbe ndio maana Heche na Lema wapo kimya !!
Ndio maana lema kaona Bora aende zake Canada aachaene na huu usenge
Huenda Mchora ramani Mkuu wa madhila yote haya ni huyu huyu anayeng'ang'ania uenyekiti, amekuwa akiwauza wenzake.Afadhali Lema anasehemu ya kukimbilia lakini sisi tutabakia kusakwa na kuwindwa kama Digidigi na kupotezwa,kuuwawa na maiti zetu kuliwa na Fisi.
Hayo maridhiano ya Mbowe yanafaida gani wakati Vijana kwa Wazee wanauwawa na Mapolisi yasiyojulikana.
UAmuzi wa Mbowe kung'ang'ania madaraka umewakera wengi, lakini jitahidini kupunguza ukali wa maneno.Mbowe naye kumbe ni mpumabavu kama wapumbavu wengine tu. Hili lizee linakiharibu chama lilichokipambania kwa muda wote.
Labda yeye na huyo Mama wameanzisha Biashara ya kutoa Kafara Wapinzani wa Nji hii.Huenda Mchora ramani Mkuu wa madhila yote haya ni huyu huyu anayeng'ang'ania uenyekiti, amekuwa akiwauza wenzake.
Zilikuwa ni hasira tu boss, alinikera sana kwa kweli.UAmuzi wa Mbowe kung'ang'ania madaraka umewakera wengi, lakini jitahidini kupunguza ukali wa maneno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huyu ataishi pabaya zaidi
Kuuza damu za watu hakutamuacha salama
Kumbe ndio maana Heche na Lema wapo kimya !!
Ndio maana lema kaona Bora aende zake Canada aachaene na huu usenge
Watu wengi wameuawa sababu ya chama hicho ebu mnyamaze nyinyi mnatafuta laanaKuna ujumbe wenu hapaView attachment 3182747
Usikasirike kiasi cha kukosa hekima. Ni rahisi zaidi kutoa tu maoni yako kuliko kuthibithisha upumbavu wa mtu ambaye yawezekana humfahamu isipokuwa kwa habari za mitandaoni.UAmuzi wa Mbowe kung'ang'ania madaraka umewakera wengi, lakini jitahidini kupunguza ukali wa maneno.
Yawezekana upo ushahidi japo wa kimazingira lakini tuvute subira, mudabutasema.Huenda Mchora ramani Mkuu wa madhila yote haya ni huyu huyu anayeng'ang'ania uenyekiti, amekuwa akiwauza wenzake.