Mbowe, mkanye Lissu

Mbowe, mkanye Lissu

Kwahiyo yeye alipompiga risasi hakuwahi kumuomba msamaha,ccm akili zenu kama yule mkalimani....mataga ni pisi kali
sasa kama alishindwa kumshughulikia akiwa hai atafanya nn sasa??? Atulize akili aaminike na watanzania
 
Tusipangiane Maisha ,Fala nyie . Hamumlishi wala hamumvishi Lissu + you are too mentally retarded to understand what smart Brain like Lisu talks about , so shut your filthy ass up .
na vingereza vyenu mtaishia kumpigia kura Twitter tuuu😂😂😂
 
Anajipiga spana mwenyewe! Sisi watanzania tutampiga spana nyingine 2025 chini ya Jemedari mama samia!
Akina mwigulu Na majaliwa watakuwa wanamuangalia tu mama akigombea 2025 eh!? Kwani nao hawaitaki huo ukuu?
 
Watu kama Lissu wanaishi Tanzania ambayo ipo zaidi mitandaoni haswa JF na Twitter, Tanzania flani ya kufikirika. Kuna ukweli wanauona ila wamegoma kuukubali.

Watanzania ni wapole wapo kimya ila wanajua ukweli na uongo, ukiwapa nafasi watoe maamuzi yao utawaona.

Mara nyingi watanzania wanazungumza kwenye maboksi ya kura na matukio kama haya tulioona wakimlilia Magufuli.
Kwa huu uchaguzi feki au uchafuZi? Usiwasingizie waTz huu ujinga.
 
Waliompiga risasi Lissu wakae mguu sawa, tunaenda kulala nao mbele ni mwendo wa kuwafyekelea mbali,
 
Acheni amalize maumivu yake aliyoyapitia wachache sana wanaweza kuvuka kihunzi kile akimaliza atatulia
 
Jamaa sio matuared.....
anabeheve kama mtoto wa sekondari
Ingekuwa wewe uliyepigwa risasi Na kukaribia kuyaona mauti, ungekuwa kwenye nafasi nzuri kumlaumu Lissu. Ila kwa kuwa si wewe, hiki ulichoandika hapa Ni uchafu tu.
 
Popote ulipo mwenyekiti wa chama.

Tunakufikishia salamu hizi sisi Watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.

Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye.

Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo utofauti anaoulazimisha utazidi kumuumbua na kukiumbua chama chenu.

Mwambie hata kama ana uchungu na kisasi kwa yale aliyofanyiwa mwambie kwa nafasi yake hastahili kufanya anayoyafanya labda kama hana mpango wakugombea.

Mwambie anaharibu image ya chama, kama anajua hatarudi wala kugombea mwambie anawaponza wenzake. Mbona wewe (Mbowe) hupost post au anadhani huna bando au smartphone?

Mwambie au mumkanye adharani au mumfute uanachama. Tundu Lissu behave like gentleman.
eti wakati wa msiba tuwe wamoja... ...mae matanga yenu yakiisha mnarudia ujinga wenu wa kuchapa risasi kuteka kunyonga kupoteza.. shwain nyie.. tulizeni makalio dawa ziwaingie vizuri
 
Msiba wenu sio msiba wao
Msiba wao sio msiba wenu

Acha kujihangaisha
 
Kwavile hana muache arushe maneno, Allah humtanguliza amtakaye, uvccm hawaani kama lisu anapumua halafu Magufuli amefariki, fanya yote ila usiingilie mamlaka ya ALLAH
na Allah akikutetea unatakiwa umshukuru sio uanze majungu
 
eti wakati wa msiba tuwe wamoja... ...mae matanga yenu yakiisha mnarudia ujinga wenu wa kuchapa risasi kuteka kunyonga kupoteza.. shwain nyie.. tulizeni makalio dawa ziwaingie vizuri
mkibisha bisha kwani maji ya Moto yanachoma nyumba???
 
Back
Top Bottom