Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
- Thread starter
-
- #321
sasa kama alishindwa kumshughulikia akiwa hai atafanya nn sasa??? Atulize akili aaminike na watanzaniaKwahiyo yeye alipompiga risasi hakuwahi kumuomba msamaha,ccm akili zenu kama yule mkalimani....mataga ni pisi kali
Kati ya wewe na Mimi Nani foolish??Mpuuzi wewe , alipopigwa risasi na kufukuzwa ubunge na kukejeliwa na huyo mzoga wenu mlikuwa wapi ? .
Foolish
nani asiye mzoga??? Kweli unalaana !!Pelekeni mkazike huo mzoga wenu tutoleeni uchuro na uozo hapa , mxieeeew
anadharaulika hata na ulimwengu sasa nyie mpotosheni tumlimchokoza wenyewe acha awatandike tu.si mnamuita mabaga fresh hiyo fresh mtaipata tu
na vingereza vyenu mtaishia kumpigia kura Twitter tuuu😂😂😂Tusipangiane Maisha ,Fala nyie . Hamumlishi wala hamumvishi Lissu + you are too mentally retarded to understand what smart Brain like Lisu talks about , so shut your filthy ass up .
angerusha na zake!!Na risasi je? Sera gani za kupigana risasi?
Akina mwigulu Na majaliwa watakuwa wanamuangalia tu mama akigombea 2025 eh!? Kwani nao hawaitaki huo ukuu?Anajipiga spana mwenyewe! Sisi watanzania tutampiga spana nyingine 2025 chini ya Jemedari mama samia!
Kwa huu uchaguzi feki au uchafuZi? Usiwasingizie waTz huu ujinga.Watu kama Lissu wanaishi Tanzania ambayo ipo zaidi mitandaoni haswa JF na Twitter, Tanzania flani ya kufikirika. Kuna ukweli wanauona ila wamegoma kuukubali.
Watanzania ni wapole wapo kimya ila wanajua ukweli na uongo, ukiwapa nafasi watoe maamuzi yao utawaona.
Mara nyingi watanzania wanazungumza kwenye maboksi ya kura na matukio kama haya tulioona wakimlilia Magufuli.
manyani.....yaani yanaakera chawaCHADEMA wanajua kushinda njaa sio uchaguzi! Hawana jipya zaidi ya matusi na kejeli!
Ingekuwa wewe uliyepigwa risasi Na kukaribia kuyaona mauti, ungekuwa kwenye nafasi nzuri kumlaumu Lissu. Ila kwa kuwa si wewe, hiki ulichoandika hapa Ni uchafu tu.Jamaa sio matuared.....
anabeheve kama mtoto wa sekondari
Kwavile hana muache arushe maneno, Allah humtanguliza amtakaye, uvccm hawaani kama lisu anapumua halafu Magufuli amefariki, fanya yote ila usiingilie mamlaka ya ALLAHangerusha na zake!!
eti wakati wa msiba tuwe wamoja... ...mae matanga yenu yakiisha mnarudia ujinga wenu wa kuchapa risasi kuteka kunyonga kupoteza.. shwain nyie.. tulizeni makalio dawa ziwaingie vizuriPopote ulipo mwenyekiti wa chama.
Tunakufikishia salamu hizi sisi Watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.
Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye.
Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo utofauti anaoulazimisha utazidi kumuumbua na kukiumbua chama chenu.
Mwambie hata kama ana uchungu na kisasi kwa yale aliyofanyiwa mwambie kwa nafasi yake hastahili kufanya anayoyafanya labda kama hana mpango wakugombea.
Mwambie anaharibu image ya chama, kama anajua hatarudi wala kugombea mwambie anawaponza wenzake. Mbona wewe (Mbowe) hupost post au anadhani huna bando au smartphone?
Mwambie au mumkanye adharani au mumfute uanachama. Tundu Lissu behave like gentleman.
Nafikiri Lissu anaongea ukweli mchungu ,Jiwe alikuwa muongo na Mwenye kauli mbovu!
Popote ulipo mwenyekiti wa chama.
Tunakufikishia salamu hizi sisi Watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA.
Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye.
Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo utofauti anaoulazimisha utazidi kumuumbua na kukiumbua chama chenu.
Mwambie hata kama ana uchungu na kisasi kwa yale aliyofanyiwa mwambie kwa nafasi yake hastahili kufanya anayoyafanya labda kama hana mpango wakugombea.
Mwambie anaharibu image ya chama, kama anajua hatarudi wala kugombea mwambie anawaponza wenzake. Mbona wewe (Mbowe) hupost post au anadhani huna bando au smartphone?
Mwambie au mumkanye adharani au mumfute uanachama. Tundu Lissu behave like gentleman.
amefanya mpaka msiba ukageuka kampeniLissu anajua sehemu za kupiga mpaka nyoka anatoka pangoni.Chezea Mwanasheria[emoji23]
na Allah akikutetea unatakiwa umshukuru sio uanze majunguKwavile hana muache arushe maneno, Allah humtanguliza amtakaye, uvccm hawaani kama lisu anapumua halafu Magufuli amefariki, fanya yote ila usiingilie mamlaka ya ALLAH
mkibisha bisha kwani maji ya Moto yanachoma nyumba???eti wakati wa msiba tuwe wamoja... ...mae matanga yenu yakiisha mnarudia ujinga wenu wa kuchapa risasi kuteka kunyonga kupoteza.. shwain nyie.. tulizeni makalio dawa ziwaingie vizuri
jitieni upofu tuu huu ni msiba was taifa mtake msitakeMsiba wenu sio msiba wao
Msiba wao sio msiba wenu
Acha kujihangaisha