Mbowe, mkanye Lissu

Mkuu usisumbuke na mjinga yule. Eti ndiyo angekuwa raisi wetu!!! Ni mtu sadist achana naye asikusumbue akili. Acha tuombolee msiba wetu kwa staili yetu!!!! Asiyependa ameze jiwe!!!!
pamoja mkuu
 
Mkanye wewe si ndio unasoma post zake huko mitandaoni, Kila mtu ana Uhuru wa kutoa maoni yake, Wakati watanzania tunamchangia ili aokoe uhai wake baada ya Marehemu na Bunge lake kumkatalia hamkujua kwamba sio utamaduni?
Lugu la kichwa utauwa watu Mkuu. Eti utamaduni.muulize kupiga watu risasi Ni utamaduni wetu?.
 
Yote anayofanya Tundu Lissu yana baraka za chama!
Ulimkumbusha marehemu kutubu DHAMBI za kuuwa watu? Kama hakutubu damu za watu zipo nyuma yake.zinadai haki Sasa msaidieni na huko pia maana lazima MUNGU azidai.huku mliweza kumtetea kamteteeni na kule Sasa.saa hizi anaubeba Msalaba mwenyewe ambao amuwezi kumsaidia hata kwa ncha ya kidole chenu cha mwisho
 
Anachokifanya Lisu ni masharti ya mabeberu ili waendelee kumpa mkate wa kila siku huko ughaibuni!! Si ajabu kishakuwa mwanachama wa LGBT+ !! Mabeberu si watu!!!
Sasa Kama mlijua hivo mlikua mnamvunja vile kwa nini?
 
wengine mim nadhan wabaknkuwa wanaharakat sio mbaya.ila kama laivosema mzee wetu mwalim.ulais sio wa majalibio.
 
Ungepigwa wewe hata risasi moja tuu matakoni labda ungekuwa na akili ya kujua kwa nini anaongea aongeayo.
Acheni ufala wa kuwa bendera fuata upepo
 
Kima inampotomosha mbona mnahangaika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…