Mbowe, mkanye Lissu

Mbowe, mkanye Lissu

Kumpuuza Lisu ni pigo tosha kabisa.
HAKUNA kumpuuza, nashauri tupambane Hadi mshindi apatikane.
Mh. Samia aruhusu màandamano ili ccm na chadema tukutane barabarani tuzichape hadi mshindi apatikane ili tuheshimiane .
Haiwezekani bwatukaji shoga kila siku kukejeli msiba wa mpedwa wetu halafu tumchekee tu.
TUPAMBANE!
 
Bado tu hamtaki kuondokana na enzi hizo!
 
TL atulie aache kuandika Mambo mepesi yasiyotoa taswira yauzito wake katika jamii.ni mgombea urais anaheshimika na aliyekubalika.maumivu yake jamii inatambua.uonevu ulitokea kwenye uchaguzi unajulikana.
 
Wewe Sasa ndiyo umesema ukweli wazalendo watampiga risasi tena. Wale waliotaka KUMUONGEZEA muda Magufuri BAADA ya kumaliza MIAKA kumi. Vipi hamkuweza KUMUONGEZEA uhai kwanza? Sasa tunataka tumuongezee mama Samia aongoze MIAKA 20 au ile ilikuwa kwa ajili ya marehemu Magufuri tu?
Chadema kweli kituko! Ina maana mkimuongezea mama Samia miaka 20 Tena chadema hamna mpango wa kutawala nchi hii hadi 2045?
Au wote mnehamia CCM ?
 
Ungeanza kumkosoa Gwajima kwa mambo mkuu mawili la kwanza ni ile ndoto yake dhidi ya uislamu na Waislamu na pili ni walaka wake Dhidi ya Watanzania na usukuma
 
Kwa andiko lako tunaonekana mlivyo na roho mbaya dhidi ya mwanadamu mwezenu na mnatudhihirishia kuwa ni kweli mpango ya kumtoa dunia ilipanga na boss wa CCM
 
Alafu kwanini uuziwe mahindi na mbabe aliyebeba bastola hukuwaona wakinamama wanyonge
Mkuu hizo zilikuwa siasa, kwani mgombea flani anapopanda usafiri wa umma kama daladala au kutembea kwa miguuu anakuwa hana au hauoni usafiri wake binafsi?

Si dhambi kufanya siasa zile na kujenga ukaribu na wapiga kura wako.
Kwani Nyerere, Karume na Mwinyi walikosa viongozi wenzao wa kucheza nao bao hadi wakati flani wacheze na wazee wa kiswahili raia tu?

Obama alikosa uwanja private wa mazoezi adi aende kucheza mpira danadana na suti zake pale TANESCO Ubungo? Lengo ni kutaka kuwaonesha yupo karibunanyi ni ndugu yenu ili mumpe/muipenye nchi yake inachotaka kiuchumi na kisiasa.
 
Back
Top Bottom