Mbowe, mkanye Lissu

Mbowe, mkanye Lissu

Ungekuwa na wewe umepigwa risasi 16 tungekusikiliza ..
Wewe unaamini hilo, unazijua risasi 16? Hivi kweli upigwe risasi 16 upone acheni mzaha ndugu zangu.Hata huo mfupa wa mguu angekuwa anatembelea mfupa wa punda au nyumbu.
 
Mnataka kuanzisha vita aisee?...mmesahau kabisa utawala washeria siyo? mmejimilikisha nchi kabisa,haya yetu macho,kumbukeni kina Musiba walifanya zaidi ya hayo na hakuna aliyewapiga wala kuwashtaki,iweje leo mkuki unaonekana mchungu,Mungu ataendelea kulipa kwa kila baya,hawahi na wala hachelewi.
Anapomtukana na kumdhihaki marehemu huo ndiyo utawala wa sheria? Hivi sheria mnazijua nyie tu?
 
UVCCM ni waoga sijapata kuona, msaada wenu uko Polisi tu vinginevyo hakuna mnachoweza kufanya nyie kuku nyie! Usifikri vijana wote ni UVCCM mbwa wewe! Tutawakabiri pia!
 
Anapomtukana na kumdhihaki marehemu huo ndiyo utawala wa sheria? Hivi sheria mnazijua nyie tu?
Sasa si mkashtaki mahakamani,mbona mnataka kujichukulia sheria mikononi?au damu ya watu imewanogea tayari? acheni kujiona first class binadamu kwenye nchi ya kila mtu...eti amemtukana marehemu,mbona mnamuita scraper hakuna anayewapiga kwa kumtukana mlemavu? na hata alipofika Chato kwenye kampeni mlijipanga mkampiga mawe hakuna aliyejali.

Watu wanamtukana Mungu hamuendi kuwapiga mawe,huyu anathamani kuliko Mungu?

Acheni kuchafua nchi,hatujazoea Tanzania ya kipumbavu mnayotaka kuileta...haya mambo ya kujiona first class ndo yalileta Genocide hapo Rwanda...na kauli kama zenu ndo zimemuweka Akayesu ngome mpaka sasa...narudia tena acheni upumbavu.
 
Ni wakumuacha alivoo mungu ajue ..

Kwa maaana mungu ndiye mweny mamlaka kwa mwanadamu yeyote anayehishi chini ya jua

Cha msingi tushikamae tuijenge nchi yetu na tuhimarishe mshikamano kwa kuondoa tofauti zetu zikiwemo za kidini, kikabila, kikanda pia na kisiasa kwa maana wote ni wanadamu na akuna mkamilifu

Ila nisiwe msabato sana.. lisuu katukosea sanaa tena sana ila mungu ndio anajua yupi mwenye haki


Mungu azidi kuilaza roho ya shujaa wetu mahali pema


Amina
Kakukosea wewe na nani na wapi haswa kawakosea?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Jibuni hoja , nimesoma article nzima hakuna dhihaka ule ni upande wa pili wa shilingi usio na sugarcoating
 
Acha amtuhumu sasa mana alivyokua na uwezo wa kukanusha hakuutumia badala yake alitumia mtutu wa bunduki kumnyamazisha
 
Mods kweli mnaacha chuki kama hizi zinasambazwa.

Alivyopigwa risasi na meko wao walimdhihaki. Bado tu hawataki kuamini kuwa Mungu yupo na Lisu?
Pathetic
 
Sio vijana wa CCM mkuu, watanzania wameshaanza kumjibu kwa vitendo. Na akumbuke watanzania huwa hawasahau
 
Kweli kwa kauli hizi ccm ni chama cha majizi. Ko Nyie kufichua uovu wanaofanya viongozi wenu ni kosa?
Ko ccm mnafuga wezi?
 
Kweli ni dhihaka. Mungu wetu mtakatifu bwana meko anakuwaje na makosa?
 
Huu nao ni uchochezi na uvunjifu wa amani. Mkabilini kwa hoja siyo kwa nguvu. Tatizo ni kuwa hamna uwezo wa kupambana kwa hoja badala yake mnatumia nguvu. Hata kushambuliwa kwake kwa risasi ni matokeo ya kushindwa kuoambana naye na kujibu hoja zake kikamilifu. Mada kama hii ni ushahidi wa kushindwa kujibu hoja badala yake kujiandaa kutumua nguvu. Ujinga!
 
Back
Top Bottom