Mbowe, mkanye Lissu

Mbowe, mkanye Lissu

Hayo yote alfanyiwa na nani??? Kwa ushahidi upi??? Halafu anachofanya Sasaivi kinamaidia nini?
Mwambie Tundu muungwana akivuliwa nguo huchutama..... kama hajitambui ajue yuko uchi mwachoni pa watanzania na dunia.
Yaani Tundu akili zake kama jina lake mfyuuuu
Mama D buana
 
Mlisha mshindwa,Pambaneni wenyewe.Risasi 31 mkamshindwa.Unawezaje andika kitu kama hiki ?
 
CCM mmejaa watu wasiweza kupambanua mambo. Badala ya kujibu hoja za Lisu mnakimbilia kusema mtamdhuru.

JK alishawambia hoja hujibiwa kwa hoja siyo kwa kuzipiga rungu.

Bora JK achukue uenyekiti labda atarudisha weledi kwenye chama
 
Nini Tundu Lissu, nyie wenyewe chini ya Kassim Majaliwa mnamdhihaki. Kumtembeza mitaani kwenye miji ya Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Geita kiasi hicho ni UDHALILISHAJI wa hali ya juu sana.

Kumbeukeni Magufuli alikuwa analindwa na kikosi Maalum cha Askari wenye sare na wasii na sare, Askari wenye mabastola na AK 47, Askari wenye ving'amuzi vya kwenye laptop, magari ya Internet Jammer na utambuzi wa vilipuzi. Na mwisho alikuwa na Helicopter juu angani!! Leo Majaliwa anamtembeza kama samaki wa feri waliochina?
 
Mlisha mshindwa,Pambaneni wenyewe.Risasi 31 mkamshindwa.Unawezaje andika kitu kama hiki ?
Kibaya zaidi wapo watu huko CCM bado wanaona ni haki Tundu lisu kupigwa risasi hawajui kuwa mungu hapendi roho mbaya na wenye roho mbaya wote watakufa kabla ya Tundu lisu, mungu hapendi roho mbaya itawale Tanzania ndiyo maana kaamua kumleta Mh mama yetu Samia aje kurejesha umoja wa kitaifa na Amani ya kudumu.
 
Ccm mmejaa watu wasiweza kupambanua mambo. Badala ya kujibu hoja za Lisu mnakimbilia kusema mtamdhuru.

JK alishawambia hoja hujibiwa kwa hoja siyo kwa kuzipiga rungu.

Bora JK achukue uenyekiti labda atarudisha weledi kwenye chama
Kikwete sasa ni kaimu mwenyekiti wa CCM kwa mda na ndiye ataandaa mfumo bora wa kutibu majeraha ya wasiojulikana na kurejesha umoja wa kitaifa
 
Chadema kweli kituko! Ina maana mkimuongezea mama Samia miaka 20 Tena chadema hamna mpango wa kutawala nchi hii hadi 2045?
Au wote mnehamia CCM ?
Hiyo imeonyesha upumbavu wenu mataga kuwa mlitaka kufanya vile si Kwa faida ya nchi.kama kwa faida ya nchi pigeni kelele za kumuongezea na mama pia
 
Tatizo la wanaccm ni kupenda kuminya haki za watu.Sio kila unaloliona wewe Jema na mwenzako analiona hivo...
 
Hamtaki mabaya yenu yawekwe wazi? Sasa iwe mvua iwe jua tutayaweka tu ili mioyo yetu iwe huru. LISSU kamatia hapohapo hawa mataga ni wapuuzi sana
 
CCM ya Hayati haikuwa na uwezo wa kujibu hoja wao walitumia wasiojulikana tu,ni tofauti na CCM ya kikwete mkapa ambao walijitahiti kujibu hoja pasipo kutumia risasi na nguvu zisizo na maana
Tafadhali usiseme ccm ya kikwet kwa sababu inatonesha vidonda. Unasahau ufisadi wote ule, mikataba ya hovyo ya kinachenge, escrow, richmond, epa na mamikataba ya bandari za bagaomoyo, madini nk?

Please ukitaka kuongelea maendeleo na hatma ya taifa usitaje kabisa awamu ya hivyo.
 
Lisu niwa kuhurumiwa ana maumivu na majeraha ya ndani ya moyo ambayo huchukua muda mrefu kupona.
Chama kimtafutie wataalamu wa mambo saikolojia wamsaidie na kumweka sawa,
Mana kufurahi mabaya yanayompata adui yako hakukufanyi uwe na furaha ya kweli na ya kudumu.
 
msaliti wa nchi adhabu yake ni kifo. Hii ni kanuni ya asili ilitumiwa hata na mitume wa Mungu.
Usaliti upi kwa Lisu? Hakuna usaliti Hatari kama kupora mali za watu kufunga biashara za watu kufunga Account zao, kupora ushindi kwenye chaguzi zote, huo ndiyo usaliti kwani CCM hawakuwa wamezoea uonevu wa kiwango hicho
 
Acha amtuhumu sasa mana alivyokua na uwezo wa kukanusha hakuutumia badala yake alitumia mtutu wa bunduki kumnyamazisha
Huyu siyo mwenzetu

EDWIN MTEI ASIKITISHWA NA ALAANI KITENDO CHA TUNDU LISSU KUMTUKANA BABA WA TAIFA, MWL. NYERERE
 
Back
Top Bottom