Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
HAKUNA kumpuuza, nashauri tupambane Hadi mshindi apatikane.Kumpuuza Lisu ni pigo tosha kabisa.
Ila humu unaongozaga kukesha.Namalizia masaa matatu ya usingizi wangu 😋😋
Hadi apewe ruhusa na mwenyewe, siyo leo.Na kwa jinsi asivyokuwa na akili timamu anaweza kuamua kuja kweli!
Ila humu unaongozaga kukesha.
Mayb uko kwa mabeberu
Ivi haijaongezwa tu muda wote kweli, bado ni7 tu?Si ndio Yuko kutafuta buku saba taslimu
Hahhahaa hongeraMie Mkulima sina pressure ya kuamka mapema 😜
Chadema kweli kituko! Ina maana mkimuongezea mama Samia miaka 20 Tena chadema hamna mpango wa kutawala nchi hii hadi 2045?Wewe Sasa ndiyo umesema ukweli wazalendo watampiga risasi tena. Wale waliotaka KUMUONGEZEA muda Magufuri BAADA ya kumaliza MIAKA kumi. Vipi hamkuweza KUMUONGEZEA uhai kwanza? Sasa tunataka tumuongezee mama Samia aongoze MIAKA 20 au ile ilikuwa kwa ajili ya marehemu Magufuri tu?
Mkuu hizo zilikuwa siasa, kwani mgombea flani anapopanda usafiri wa umma kama daladala au kutembea kwa miguuu anakuwa hana au hauoni usafiri wake binafsi?Alafu kwanini uuziwe mahindi na mbabe aliyebeba bastola hukuwaona wakinamama wanyonge
Wanyiramba na Wasukuma ni watani wa jadi
Hujafa hujaumbikaHuyu mabaga tz hana lake tena.